Maelekezo ya kupakua na ku-install app:
- Jinsi ya kuruhusu kupakua APP kutoka nje ya Google Play: Settings > Security > Unknown sources > Allow > OK
- Bonyeza "Pakua APP" na kisha bonyeza OK
- Kwenye notification, utachagua faili la APK
- Bonyeza 'Install'