Msaada
Nyuma

Promosheni ya Mizunguko ya Bure Happy Hour Zombie Apocalypse

Muda uliobaki

8:10:53

Happy Hour – Zombie Apocalypse Free Spins Promo

Masharti na Vigezo

1. Kipindi cha Promo

  • Promo ya Happy Hour inapatikana kila Jumanne na Alhamisi, kuanzia 18 Juni.

  • Katika kila siku ya promo, kipindi cha Happy Hour ni kuanzia saa 03:00 asubuhi hadi saa 05:59 asubuhi.

  • Ni deposit zinazofanyika ndani ya kipindi maalum cha Happy Hour pekee ndizo zitakazostahiki promo hii.

2. Nani Anaweza Kushiriki?

  • Promo hii inapatikana kwa wachezaji wote wenye akaunti iliyosajiliwa kwenye tovuti au application ya Meridianbet Tanzania.

  • Wachezaji wapya wataweza kushiriki baada ya kukamilisha usajili wa akaunti kwa mafanikio.

  • Kila mchezaji anaweza kushiriki kwenye promo hii mara moja tu kwa kila siku ya promo.

  • Kila mchezaji anaruhusiwa kuwa na akaunti moja tu iliyosajiliwa.

3. Jinsi ya Kufuzu

Ili kupata Free Spins, mchezaji anatakiwa:

  • Kufanya deposit ya angalau TZS 10,000 ndani ya kipindi cha Happy Hour, kati ya saa 03:00 asubuhi na saa 05:59 asubuhi.

  • Kucheza kiasi alichoweka mara 5 (5x) kwenye slot games zinazokubalika.

  • Crash Games, Table Games, Live Casino, Sports na michezo mingine isiyokubalika haijajumuishwa kwenye promo hii na haitahesabiwa kwenye mahitaji ya wagering.

  • Kukamilisha wagering inayohitajika kwa mujibu wa masharti ya promo.

4. Zawadi ya Free Spins

Wachezaji wanaotimiza masharti ya kushiriki watapata Free Spins kulingana na viwango vifuatavyo vya deposit:

Deposit Free Spins
TZS 10,000 – 39,999 10 Free Spins
TZS 40,000 – 99,999 20 Free Spins
TZS 100,000 – 199,999 30 Free Spins
TZS 200,000 and above 50 Free Spins
  • Kila Free Spin ina thamani ya TZS 500.

  • Free Spins zitatolewa kwa Zombie Apocalypse by Expanse Studios pekee.

  • Free Spins zitawekwa kwenye akaunti ya mchezaji moja kwa moja.

  • Wachezaji wanaostahiki watajulishwa mara baada ya Free Spins zao kuwekwa kwenye akaunti.

5. Free Spins na Ushindi

  • Ushindi unaopatikana kupitia Free Spins hautakuwa na mahitaji ya ziada ya wagering.

  • Kiwango cha juu cha ushindi kinachoweza kupatikana kupitia Free Spins kitategemea idadi ya Free Spins zilizotolewa.

  • Wachezaji watajulishwa kiwango cha juu cha ushindi kinachotumika kupitia notification.

6. Masharti ya Jumla ya Promo

  • Kwa kushiriki kwenye promo hii, wachezaji wanakubaliana na Masharti na Vigezo hivi pamoja na Masharti na Vigezo vya Jumla vya Meridianbet.

  • Meridianbet ina haki ya kubadilisha, kusitisha kwa muda au kumaliza promo hii wakati wowote.

  • Endapo kutakuwa na tuhuma za udanganyifu, matumizi mabaya ya promo, matumizi ya akaunti zaidi ya moja, matatizo ya kiufundi au shughuli yoyote inayoweza kuathiri uadilifu wa promo, Meridianbet ina haki ya kufuta Free Spins na/au ushindi wowote uliopatikana kutokana na shughuli hizo.

  • Masharti na Vigezo vya Jumla vinatumika.

SHINDA!

Promosheni Zaidi

WICKED WINS – HALLOWEEN

Fumbua Siri, Jishindie Zawadi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Wazdan 25 MAGIC PLUMS

Kuwa wa Kwanza Kufurahia Uchawi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Expanse Reel Warriors

Panda Kwenye Msimamo wa Washindi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Promosheni ya Mizunguko ya Bure Happy Hour Zombie Apocalypse

La mgambo Limelia, Mizunguko ya Bure Imewasil!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi