Promosheni itadumu kuanzia Aprili 02 mpaka Aprili 16.
Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliw akwenye APP na tovuti ya Meridianbet.co.tz.
Wakati wa promosheni, kutakua na mvua 25 za bure kila siku, wachezaji 20 watapokea beti za mvua za bure kila muda.
Wakati wa kila mvua, wachezaji 20 watakao bofya kitufe cha CLAIM watapata mvua za bure
Kila beti ya mvua za bure inayotolewa ina thamani ya 200 TSH
Mchezaji anawaze ku CLAIM beti ya mvua za bure mara moja pekee kwa kila mzunguko.
Fungua "Chat" ndani ya mchezo wa AVIATOR kwa kubonyeza ikoni iliyo juu kulia mwa skrini na subiri Freebet rain.
Baada ya kudai Freebet, wachezaji wanapaswa kubonyeza "Free bets" kwenye menyu na kuchagua kiasi cha Freebet kilichodaiwa kama dau lao.
Ushindi utatolewa kwenye akaunti ya pesa ya mchezaji wakati wowote mara tu odds zitakapofikia kiwango cha chini cha 1.95.
Freebet rain itatokea bila mpangilio mara 25 kwa siku, ikidumu kwa dakika 10 kila wakati.
Freebet lazima zitumike ndani ya dakika 10 baada ya kubonyeza kitufe cha CLAIM.
Mbali na Freebet rains za kila siku, Meridianbet itatoa zawadi kwa wachezaji 20 bora kwenye ubao wa uongozi wenye kiwango cha juu cha malipo mwishoni mwa promosheni.
Kila dau la jumla la 5,000 TZS litakuwa na thamani ya alama 5, na kila mzunguko uliochezwa utakuwa na thamani ya alama 2
Nafasi ya 1 : PS5 Slim 1TB
Nafasi ya 2 : Freebet 40, kila moja yenye thamani ya 5,000 TZS
Nafasi ya 3 : Freebet 30, kila moja yenye thamani ya 5,000 TZS
Nafasi ya 4 na 5 : Freebet 20, kila moja yenye thamani ya 5,000 TZS
Nafasi ya 6 mpaka 10 : Freebet 10, kila moja yenye thamani ya 5,000 TZS
Ofa hii ni kwa mtuamiaji mmoja pekee, Anuani ya IP na Kaya.
Kwa kusajili akaunti, wachezaji wanakubaliana na sheria na viezo vyote vya promosheni.
Meridianbet wana haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.