WICKED WINS – HALLOWEEN
Msaada
Nyuma

WICKED WINS – HALLOWEEN

Muda uliobaki

8:10:53

Vigezo na Masharti vya Promotion hii:

Jinsi ya Kushiriki na Kushinda

1. JIUNGE

Jiunge na promosheni ya Wicked Wins kupitia mchezo wowote wa Slot wa Halloween unaoshiriki kwenye promosheni.

2. CHEZA 

Weka dau la fedha halisi kwa kiwango chochote kinachoruhusiwa na mchezo.

3. KUSANYA 

Kusanya alama zote tatu za Halloween: Boga , Mzimu na Pipi .

4. FUNGUA 

Baada ya kukusanya alama zote tatu, chagua sanduku moja la siri ili kufungua zawadi yako.

5. SHINDA 

Jishindie zawadi ya hadi mara 1,000 ya dau lako linalostahili!

      Zawadi za Promosheni

  • Zawadi 10 za kizidisho cha 1,000X.

  • Zawadi 40 za kizidisho cha 500X.

  • Zawadi 200 za kizidisho cha 100X.

  • Zawadi 1,000 za kizidisho cha 50X.

  • Zawadi 20,000 za kizidisho cha 10X.

  • Zawadi 50,000 za kizidisho cha 5X.

    Sheria na Masharti ya Promosheni

  1. Promosheni ya Wicked Wins itaanza tarehe 28 Oktoba 2026 saa 09:01 UTC na kumalizika tarehe 1 Novemba 2026 saa 22:59 UTC.

  2. Wachezaji wanatakiwa kujiunga na promosheni kupitia mchezo wowote wa Slot unaoshiriki ili kupata nafasi ya kushinda zawadi.

  3. Spin zinazotumia fedha halisi pekee ndizo zinazostahili kushiriki. Kila spin inaweza kutoa alama moja tu.

  4. Mchezaji lazima akusanye alama zote tatu tofauti za Boga, Mzimu na Pipi ili kupata nafasi ya kushinda zawadi. Kukusanya alama moja au mbili hakumpatii mchezaji zawadi.

  5. Baada ya kukusanya alama zote tatu, mchezaji atachagua sanduku moja la siri ili kufungua na kuona zawadi aliyoshinda.

  6. Zawadi zitakokotolewa kwa kutumia kizidisho husika na dau linalostahili, huku kiwango cha juu cha dau kinachotumika kukokotoa zawadi kikiwa TZS 3,000 (€1).

  7. Kwa dau maalumu kama Ante Bet au Super Spin, zawadi zitakokotolewa kwa kutumia dau maalumu la TZS 3,000 (€1) kwa kila spin.

  8. Kila mchezaji anaweza kushinda zawadi zisizozidi mbili katika kipindi chote cha promosheni.

  9. Hakuna gharama ya ziada ya kushiriki zaidi ya dau la kawaida la mchezo.

  10. Zawadi zitaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji kama fedha taslimu bila masharti ya ziada ya kucheza au vizuizi vya kutoa fedha vinavyotokana na promosheni.

  11. Wachezaji wanaweza kufuatilia alama walizokusanya, zawadi walizoshinda, zawadi za wachezaji wengine na zawadi zilizobaki kupitia mfumo wa promosheni ndani ya mchezo.

  12. Promosheni hii haipatikani kwa wachezaji wanaoishi Denmark, Italia, Latvia, Lithuania, Ureno, Hispania, Uswidi na Uswisi.

  13. Kushiriki kwenye promosheni hakubadilishi asilimia ya marejesho ya mchezo (RTP) au uwezekano wa kawaida wa kushinda.

  14. Endapo kutatokea hitilafu za kiufundi au matatizo ya mfumo, spin au matokeo ya zawadi yaliyoathirika yanaweza kufutwa au kurejeshwa kulingana na taratibu za mwendeshaji.

  15. Pragmatic Play haitawajibika kwa matatizo ya intaneti, hitilafu za vifaa au kukatika kwa huduma za mfumo zinazoweza kuathiri ushiriki wa wachezaji.

  16. Pragmatic Play ina haki ya kubadilisha, kusitisha au kufuta promosheni kwa kuzingatia masharti yake kamili.

  17. Udanganyifu au matumizi mabaya ya promosheni yanaweza kusababisha kufutiwa zawadi, kuondolewa kwenye promosheni au kuzuiwa kushiriki promosheni zijazo.

  18. Ushiriki kwenye promosheni unategemea sheria za eneo husika, vigezo vya umri na masharti ya leseni.

  19. Endapo kutakuwa na tofauti kati ya masharti ya Kiswahili na Kiingereza, masharti ya Kiingereza ndiyo yatakayotumika.

      CHEZA SASA!

 

Promosheni Zaidi

WICKED WINS – HALLOWEEN

Fumbua Siri, Jishindie Zawadi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Wazdan 25 MAGIC PLUMS

Kuwa wa Kwanza Kufurahia Uchawi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Expanse Reel Warriors

Panda Kwenye Msimamo wa Washindi!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Promosheni ya Mizunguko ya Bure Happy Hour Zombie Apocalypse

La mgambo Limelia, Mizunguko ya Bure Imewasil!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi