Michezo Ya Blackjack | Michezo Ya Roulette

TITAN ROULETTE
TITAN ROULETTE DELUXE
MULTIHAND TITAN POKER
MEGA FIRE BLAZE BLACKJACK
VIDEO POKER
FASHION TV BACCARAT
ROLETA BRASILEIRA
9 MASKS OF FIRE ROULETTE
MINI POWER ROULETTE
FIRST PERSON LIGHTNING BLACKJACK
ROCA RICHES ROULETTE
FIRST PERSON SUPER SIC BO
SIC BO
DIAMOND BLACKJACK
HI-LO
CLASSIC BLACKJACK SIDE BET SUITE
MONOPOLY BIG BALLER
MAGIC POKER
TITAN DICE
SICBO
ROULETTE
TURBO POKER
 DEUCES WILD MULTIHAND
PREMIER BLACKJACK WITH BUSTER BLACKJACK
TURBO AUTO ROULETTE
GOLD ROULETTE
AMERICAN ROULETTE
ONYX AUTO ROULETTE
ATLANTIC CITY BLACKJACK
VEGAS SINGLE DECK BLACKJACK
JACKS OR BETTER MULTI-HAND 25
SIC BO
RED DOG
MULTIHAND VEGAS STRIP BLACKJACK
BLACKJACK
EUROPEAN ROULETTE SMALL BETS
BONUS POKER - POWER POKER
JOKER POKER - POWER POKER
XXXTREME LIGHTNING ROULETTE
EUROPEAN ROULETTE
MULTIHAND VEGAS DOWNTOWN BLACKJACK
CASINO ROULETTE
EUROPEAN ROULETTE VIP
DOUBLE JOKER - POWER POKER
BONUS DEUCES WILD - POWER POKER
CARDS OF ASGARD ALL ACES
SPIN TILL YOU WIN ROULETTE
ROULETTE: SILVER
BONUS POKER DELUXE - POWER POKER
VEGAS DOWNTOWN BLACKJACK

Blackjack | Roulette | Michezo Ya Mezani Kasino

Blackjack na Roulette ni michezo maaraufu amabayo huchezwa mezani kwenye majumba ya kasino pamoja na kasino za mtandaoni. Ingawa michezo yote hii huchezwa mezani, ni muhimu kujua kuwa ni michezo tofauti kabisa kuanzia jinsi inavyochezwa, jinsi inavyo toa ushindi na jinsi inavyolipa.


Michezo ya mezani kwenye kasino ni michezo yote ambayo huchezwa juu ya meza zaa kasino. Mfano wa michezo hii ni kama vile Michezo ya Roulette, Blackjack, Baccarat, na Poker pamoja na michezo ya kete kama Sic Bo na Titan Dice.


Michezo hii ya mezani inapatikana kwenye kasino namba moja nchini Tanzania - Meridianbet. Kasino ya Meridianbet ina zaidi ya michezo 350, huku kila mchezo wa ukiwa na sifa za kipekee ambazo hupelekea kupendwa na wadau wa michezo ya roulette, blackjack, na Poker.


Kila mchezo unaopatikana kwenye kasino hii ya mtandaoni unaambatana na maelekezo ya mchezo huo, vile vile kuruhusu wachezaji kujaribu kucheza mchezo hii bure kwa njia ya “Demo” ili kumuwezesha mchezaji kuweza kuuelewa mchezo kabla hajaweka beti yake halisi au dau halisi. Miongoni mwa michezo ya mezani kasino inayoruhusu kucheza bure ni “Titan Roulette”, “Diamond Blackjack” , na “American Poker”.


Cheza Roulette Mtandaoni

Roulette ni mchezo wa mezani kasino, mchezo huu wa roulette ni moja ya michezo ambayo imekuwa ikipendwa na wachezaji wa kasino duniani kote. Hii imetokana na urahisi wa kucheza mchezo wenyewe lakini pia imesababishwa na historia ikiwa ni pamoja na umri wa mchezo huu. Roulette ni kati ya michezo ya mwanzoni kuvumbuliwa kwa upande wa michezo ya kasino, hivyo kupelekea mchezo huo kuzoeleka na kupendwa sana na wadau wa kasino.


Mchezo huu ulioanzishwa barani Ulaya nchini Ufaransa na mwanahisabati “Blaise Pascal” mnamo miaka ya 1600, ulipokelewa vyema kwenye jamii za wadau wa michezo ya kasino na hatimaye roulette ukaja kuwa moja ya michezo iliyouza sana kwenye kasino zote duniani. Jambo ambalo mpaka leo hii limepelekea majumba ya kasino pamoja na kasino za mtandaoni kuwa na meza ya roulette zaidi ya moja.


Aina Tofauti Za Roulette Kasino Mtandaoni

Mchezo huu wa Roulette unapatikana kwa aina kuu mbili ambazo ni;

  1. Roulette Ya Ulaya
  2. Roulette Ya Marekani

Tofauti kuu kati ya mchezo wa roulette ya Marekani (American roulette) na roulette ya Ulaya (European roulette) ni idadi ya nafasi au sehemu zilizopo kwenye gurudumu.


Roulette ya Marekani ina gurudumu lenye nafasi 38 zenye namba, ikiwa ni pamoja na sifuri mbili na namba 1 mpaka 36. Nafasi ya ziada ya sifuri mbili inaipa kasino faida zaidi, hivyo kufanya mchezo huo kuwa na maslahi kidogo kwa wachezaji ikilinganishwa na mchezo wa roulette ya Ulaya.


Kwa upande mwingine, mchezo wa roulette ya Ulaya una gurudumu lenye nafasi 37 zenye namba, ikiwa ni pamoja na sifuri moja na nambari 1-36. Hii inampa mchezaji nafasi ya maslahi bora ya ushindi ikilinganishwa na roulette ya Marekani.


Tofauti nyingine ni kwamba mpangilio wa namba kwenye gurudumu ni tofauti kidogo kati ya matoleo haya mawili. Hata hivyo, chaguo za kubeti na malipo kwa ujumla ni sawa kwa aina zote mbili ya michezo ya roulette.


Kwa ujumla, kasino inapata faida kidogo katika mchezo wa roulette ya Ulaya ikilinganishwa na mchezo wa roulette ya Marekani, hivyo kufanya roulette ya Ulaya kuwa chaguo lenye nafasi bora ya ushindi kwa wachezaji.


Michezo Ya Roulette Kasino Mtandaoni

Baadhi ya michezo ya roulette inayopatikana kwenye kasino namba moja mtandaoni Tanzania ni kama michezo ifuatayo;

  • Titan Roulette.
  • Titan Roulette Deluxe.
  • Mini Power Roulette.
  • American Roulette.
  • Casino Roulette.
  • European Roulette.


Hii ni baadhi ya michezo mbali mbali ya roulette inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbet, jisajili na uanze kucheza roulette kutokea popote pale ulipo kwa kupitia tovuti au kwa kupakua applikesheni ya Meridianbet kasino.


Jinsi Ya Kucheza Roulette Mtandaoni

Roulette ni mchezo wa mezani kwenye kasino ambapo mpira mdogo huwekwa kwenye gurudumu linalozungushwa lenye nafasi zenye rangi na namba. Wachezaji huweka beti kwa kubashiri ni wapi mpira utaishia au utapotua, kwenye namba maalum au kwenye kundi la namba.


Blackjack | Poker | Baccarat | Michezo Ya Karata

Michezo ya karata inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbet ni blackjack, poker, pamoja na baccarat. Michezo hii ya karata ndio michezo maarafu ambayo huchezeshwa kwenye meza za kasino zote duniani na mtandaoni.


Mchezo Wa Blackjack

Blackjack ni mchezo maarufu wa karata unaochezwa katika kasino zote duniani, lengo la mchezo huu ni kuwa na mkono wa karata wenye thamani ya karibu na 21 kuliko mkono wa muuzaji(dealer), bila kuzidi thamani ya 21.


Jinsi Ya Kucheza Blackjack Mtandaoni

Blackjack ni moja ya michezo pendwa ya karata kwenye meza za kasino na vile vile ni rahisi kuucheza mchezo huu, jifunze namna ya kucheza blackjack kama ifuatavyo;

  • Mchezo huu hutumia kuanzia bunda moja la karata 52 mpaka mabunda 6 ya karata.
  • Lengo la blackjack ni kuwa na karata zenye thamani sawa na 21 au karata zeneye thamani ya juu kuliko karata za mchezeshaji(dealer), bila kuzidi 21.
  • Mwanzoni mwa kila mzunguko wa blackjack, wachezaji huweka dau/beti zao.
  • Kila mchezaji ikiwemo mchezeshaji hupewa karata mbili. Karata ya kwanza ya mchezeshaji hugeuziwa juu na sura yake kuwa wazi kuonekana, wakati karata ya pili hugeuzwa chini kwa kufunika sura ya karata na kuifanya kuwa siri na kisha hufunguliwa au kuonyeshwa baada ya mchezaji kupata karata zinazomfaa
  • Karata zenye namba kuanzia 2 mpaka 10 zina thamani sawa na namba zake, Karata zungu (J, Q, K) zina thamani ya alama 10, na karata dume(karata yenye ‘A’) zinaweza kuwa na thamani ya alama 1 au 11, kulingana na thamani ipi ni bora kwa mchezaji.
  • Wachezaji wanaweza kuchagua "hit" (kupata karata nyingine) au "stand" (kuendelea na karata alizonazo) ili kupata thamani ya 21 bila kuzidi.
  • Ikiwa karata za mchezaji zinazidi 21, atakuwa amepoteza na mchezeshaji(dealer) atachukua dau lake.
  • Baada ya wachezaji wote kumaliza zamu zao, mchezeshaji hufunua karata yake iliyofichwa na lazima kuchukua karata nyingine mpaka afikie angalau alama 17.
  • Ikiwa mchezeshaji(dealer) anazidi alama 21, wachezaji wote waliosalia wanashinda. Ikiwa sivyo, thamani za karata za kila mchezaji zinalinganishwa na thamani za karata za mchezeshaji(dealer), na thamani ya karata zilizo karibu na 21 bila kuzidi ndio mshindi.
  • Pia wachezaji wanaweza kuwa na chaguo la "double down" (kuongeza dau mara mbili na kupata karata nyingine moja) au "split" (kugawa karata zao katika nafasi mbili tofauti) chini ya hali fulani.


Kwa ufupi hivi ndio namna mchezo wa blackjack unavyochezwa, ikiwa unataka kucheza michezo ya karata kasino anza kwa kucheza blackjack.


Cheza Poker Mtandaoni

Poker ni moja wapo ya michezo ya karata iliyojipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa kasino. Mchezo huu wa karata ambao unaweza kuchezwa na wachezaji wawili hadi wachezaji kumi. Lengo la mchezo huu wa poker ni kushinda "pot" ambayo ni jumla ya pesa zote ambazo wachezaji wote wameweka dau/beti zao.


Jinsi Ya Kucheza Poker

Mwanzoni mwa mchezo wa poker, kila mchezaji hupewa idadi fulani ya karata (kwa kawaida huwa ni karata tano, lakini inaweza kutofautiana kulingana na aina ya mchezo wa poker unaochezwa). Kisha wachezaji huanza kuweka dau/beti zao kulingana na nguvu ya karata walizonazo.


Mchezo wa poker unahusisha raundi kadhaa za kuweka beti yako, na wachezaji wanaweza kuamua kufunga (kupoteza karata zao na kutoka katika mchezo), kufuata (kufanana na dau lililopo kwa wakati huo), au kuongeza dau (kuongeza dau la wakati huo).


Mwishoni mwa raundi ya poker, wachezaji wote waliosalia huonyesha karata zao na mchezaji mwenye karata zenye nguvu zaidi anashinda "pot".


Nguvu ya karata alizokuwa nazo kila mchezaji unategemea mfumo wa viwango vya karata za poker, ambayo ni orodha maalum ya mchanganyiko wa karata unaoanzia “high card” hadi “Royal flush”.


Kuna aina nyingi za poker, kila mmoja ukitofautiana sheria ndogo ndogo, lakini lengo kuu linabaki sawa - kuwa mchezaji mwenye karata zenye nguvu zaidi atashinda "pot".


Baccarat Mtandaoni

Baccarat ni mchezo wa karata ambao mara nyingi huchezwa kwenye kasino. Lengo la mchezo wa Baccarat ni kupata karata zenye thamani karibu na 9 iwezekanavyo.


Jinsi Ya Kucheza Baccarat

Kwenye mchezo wa baccarat, karata zina thamani ya pointi. Karata zenye namba 2 hadi 9 zina thamani sawa na namba yake, wakati karata zenye alama 10, J, Q, na K hazina thamani na zina pointi 0. Karata A ina pointi 1.


Mwanzoni mwa raundi ya baccarat, unaweza kubeti kama "player(mchezaji)" au "banker" na ushindi ni aliepata mkono wenye thamani kubwa. Pia unaweza kubeti kwa Tie(sare).


Mchezaji na banker wanapewa karata mbili. Ikiwa thamani ya mkono wao ni 8 au 9, huitwa "natural," na hawachukui tena karata. Ikiwa thamani ya karata ni chini ya 8, mchezaji anaweza kuchagua kuchukua karata nyingine. Ikiwa mchezaji amesimama, banker anaweza kuchagua kuchukua karata nyingine ikiwa karata zake zina thamani chini ya 5.


Baada ya kugawa karata zote, karata zenye thamani kubwa hushinda. Ikiwa mchezaji anashinda, atapata malipo sawa. Ikiwa banker anashinda, utalazimika kulipa 5% ya commission kutoka kwenye ushindi wako. Ikiwa kuna Tie, kawaida unalipwa 8 kwa 1 kwenye beti yako.


Baada ya kujifunza kucheza Baccarat unaweza kuanza kufanya majaribio kwa kutumia matoleo ya kijaribio ya michezo ya Baccarat na ukiwa tayari kutengeneza pesa zaidi mtandaoni utafungua akaunti kwa kujisajili kwenye kasino ya Meridianbet uanze kucheza baccarat.


Blackjack, Roulette, Poker, na Baccarat Ndio Uhondo Wa Kasino

Wadau wa michezo ya kasino huvutiwa kucheza michezo mbali mbali ikiongozwa na Roulette, Blackjack, Poker na baccarat kwa sababu ya urahisi wao na malipo makubwa ya ushindi itakanayo kwa kucheza michezo hii ya mezani. Kaa kijanja cheza blackjack, roulette, poker na baccarat mtandaoni.

general.scroll_to_top