Mechi za kubeti Italia

Mpangilio wa jumla:

Wakati na Tarehe
Ligi

Wakati

Saa 1
Masaa 3
siku 1
siku 3
Zote
Mpira wa Miguu
Matokeo ya mwisho
1
X
2
Chini ya
O/U
Zaidi
Wote wa Timu ya alama
GG
GG&3+
GG&4+
Serie A
1438
13:00
19.10.
Italia - Serie A
Genoa CFC
Bologna FC
2.94
3.19
2.45
1.62
2.50
2.30
1.99
2.75
4.80
1406
13:00
19.10.
Italia - Serie A
Como 1907
Parma Calcio
1.91
3.72
3.72
2.23
2.50
1.66
1.61
1.97
2.91
1445
16:00
19.10.
Italia - Serie A
AC Milan
Udinese Calcio
1.34
5.29
7.84
2.38
2.50
1.59
1.90
2.24
3.15
1526
18:45
19.10.
Italia - Serie A
Juventus Turin
Lazio Rome
1.99
3.28
3.92
1.68
2.50
2.20
1.98
2.70
4.55
1677
10:30
20.10.
Italia - Serie A
Empoli FC
SSC Napoli
5.48
3.72
1.64
1.82
2.50
2.00
2.01
2.60
4.20
1647
13:00
20.10.
Italia - Serie A
US Lecce
ACF Fiorentina
2.99
3.28
2.35
1.80
2.50
2.02
1.81
2.37
3.85
1546
13:00
20.10.
Italia - Serie A
Venezia FC
Atalanta BC
5.09
3.92
1.63
2.09
2.50
1.75
1.79
2.22
3.30
1488
16:00
20.10.
Italia - Serie A
Cagliari Calcio
Torino FC
2.79
3.19
2.60
1.74
2.50
2.11
1.84
2.48
4.10
1536
18:45
20.10.
Italia - Serie A
AS Roma
Inter Milano
4.01
3.67
1.85
2.13
2.50
1.72
1.67
2.06
3.05
1565
18:45
21.10.
Italia - Serie A
Hellas Verona
AC Monza
2.25
3.09
3.43
1.63
2.50
2.30
1.98
2.75
4.80
0827
16:30
25.10.
Italia - Serie A
Udinese Calcio
Cagliari Calcio
2.06
3.28
3.47
1.80
2.50
2.02
1.85
2.42
3.90
0541
18:45
25.10.
Italia - Serie A
Torino FC
Como 1907
2.00
3.38
3.52
2.01
2.50
1.81
1.70
2.15
3.30
0632
13:00
26.10.
Italia - Serie A
SSC Napoli
US Lecce
1.33
4.90
8.62
2.13
2.50
1.72
2.10
2.55
3.75
0030
16:00
26.10.
Italia - Serie A
Bologna FC
AC Milan
3.52
3.52
1.96
2.22
2.50
1.67
1.61
1.96
2.90
0427
18:45
26.10.
Italia - Serie A
Atalanta BC
Hellas Verona
1.40
4.60
6.66
1.62
3.50
2.30
1.75
2.05
2.85
0450
10:30
27.10.
Italia - Serie A
Parma Calcio
Empoli FC
2.03
3.14
3.72
1.74
2.50
2.10
1.90
2.55
4.20
0882
14:00
27.10.
Italia - Serie A
Lazio Rome
Genoa CFC
1.63
3.72
5.09
1.94
2.50
1.87
1.90
2.40
3.70
0412
14:00
27.10.
Italia - Serie A
AC Monza
Venezia FC
2.22
3.09
3.28
1.67
2.50
2.22
1.95
2.65
4.55
0022
16:00
27.10.
Italia - Serie A
Inter Milano
Juventus Turin
1.66
3.43
5.29
1.73
2.50
2.12
2.09
2.80
4.60
0005
18:45
27.10.
Italia - Serie A
ACF Fiorentina
AS Roma
2.43
3.19
2.79
1.79
2.50
2.03
1.82
2.38
3.90
Serie B
1510
18:30
18.10.
Italia - Serie B
SSC Bari
US Catanzaro
1.90
3.04
3.57
1.69
2.50
2.05
1.87
2.49
4.30
1305
13:00
19.10.
Italia - Serie B
AS Cittadella
Cosenza Calcio
2.28
2.94
2.84
1.62
2.50
2.15
1.88
2.55
4.50
0736
13:00
19.10.
Italia - Serie B
US Salernitana
Spezia Calcio
2.50
2.99
2.50
1.72
2.50
2.01
1.77
2.34
4.00
0694
13:00
19.10.
Italia - Serie B
FC Sudtirol Bolzano
Pisa SC
2.55
2.84
2.55
2.44
1.50
1.49
2.10
3.00
5.85
0754
13:00
19.10.
Italia - Serie B
Modena FC
Palermo FC
2.25
2.94
2.84
1.59
2.50
2.22
1.92
2.65
4.75
0781
15:15
19.10.
Italia - Serie B
Brescia Calcio
Sassuolo Calcio
2.37
2.99
2.65
1.78
2.50
1.93
1.72
2.24
3.75
0661
13:00
20.10.
Italia - Serie B
Juve Stabia
US Cremonese
3.09
2.94
2.14
1.67
2.50
2.07
1.83
2.46
4.25
0137
13:00
20.10.
Italia - Serie B
Reggiana 1919
Frosinone Calcio
2.43
2.99
2.60
1.69
2.50
2.04
1.80
2.39
4.10
1399
13:00
20.10.
Italia - Serie B
Carrarese Calcio
Mantova 1911
2.11
3.14
2.94
1.80
2.50
1.90
1.73
2.24
3.70
0502
15:15
20.10.
Italia - Serie B
Cesena FC
Sampdoria Genoa
2.09
2.99
3.09
1.67
2.50
2.08
1.85
2.47
4.30

Mpira wa Miguu Italia Na Odds Za Mechi Italia

Mpira wa miguu Italia unajivunia historia ndefu na tajiri, ukiwa na ligi mbalimbali zinazojulikana kwa ushindani wake na ubora wa kiufundi. Historia yake inaanzia mwanzoni mwa karne ya 20, ambapo vilabu vya kwanza vilianza kuundwa katika maeneo mbalimbali nchini Italia, huku ligi ya kwanza ya “Serie A” ilianzishwa rasmi mwaka 1898, ingawa mfumo wa ligi ya kitaifa ulikuja kufanyika baadaye.

Mpira wa miguu Italia umeendelea kukua na kupata umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na ushindani mkali, ubora wa kiufundi wa wachezaji, na historia ya mafanikio ya vilabu vyake. Vilabu vya Italia kama vile Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, na Napoli vimekuwa na mafanikio makubwa ndani na nje ya nchi.

Derby Kali za Italia

Ligi kuu ya Italia ‘Serie A’ inajulikana kwa derby zake kali ambazo huamsha hisia kali za ushindani. Baadhi ya derby maarufu ni pamoja na:

  • Derby della Madonnina: Kati ya Inter Milan na AC Milan.
  • Derby della Capitale: Kati ya AS Roma na Lazio.
  • Derby d'Italia: Kati ya Juventus na Inter Milan.

Kwenye suala la kubetia ligi za Italia, kuna mambo kadhaa yanayovutia watu kubashiri. Kwanza, ligi za Italia hujulikana kwa kuwa na ushindani mkubwa na matokeo yasiyotabirika, hivyo kuvutia wadau wa kubeti kutafuta fursa za kushinda pesa. Pili, odds (au viwango vya ubashiri) za Italia mara nyingi huwa na tofauti kubwa, hususa ni katika mechi za vilabu vikubwa na vilabu vidogo, hivyo kutoa fursa za faida kwa wabashiri wenye ujuzi wa kuchambua mechi. Aidha, mechi za derby na michezo mikali huwa na odds kubwa kutokana na ushindani mkubwa na kutofautisha nguvu kati ya timu hizo.

Mpira wa miguu Italia lina historia ndefu, ushindani mkubwa, na derby kali ambazo huvutia sana mashabiki wa soka na wadau wa kubeti kutokana na fursa za kubashiri na odds kubwa.

Mechi Za Italia 2024

Italia ni nyumbani kwa timu nyingi za mpira wa miguu zikipangwa katika ligi tofauti kuwania mataji mbali mbali. Hivyo kupelekea mechi za mpira wa miguu nchini Italia kuwa ni mechi za kuvutia kiasi cha kuwapa hamasa mashabiki wa soka kubashiri kwenye matokeo kwa kuweka beti. Mashabiki wa soka huvutiwa na odds za kubetia mechi za Italia kwa maana zinavutia kwa umoja wake kutokana ukubwa wa viwango vya odds hivyo. Nyakua odds kali za mechi za Italia kwa kubashiri na Meridianbet ujipatie machaguo mengi ya kubashiri ndani ya mechi moja, ikiwemo idadi ya magoli, idadi ya kona, n.k.

Odds za Kubeti Italia

Linapokuja swala la kubeti kwenye mapambano mbalimbali ya soka Italia vitu vinavyozingatiwa kwa umakini ni odds za mechi husika, na pia odds za machaguo ya mechi hio. Kutokana na ushindani wa hali ya juu ambao umekuwa ukijionyesha kwenye mapambano ya soka Italia imepelekea mechi nyingi za Italia kuwa na odds kubwa na za kipekee zitakazo kuletea ushindi wa ajabu mtandaoni.

Ligi za Kubeti Italia

Soka la Italia limegawanywa kwenye madaraja tofauti kulinganisha na uwezo na ushindani wa timu husika kwenye daraja hilo. Tazama kwa undani ligi au madaraja haya ya soka na ujipatie maarifa na ujuzi wa kubeti kwenye ligi za Italia;

  1. Serie A: Serie A ni ligi kuu ya mpira wa miguu nchini Italia. Ilianzishwa mwaka 1898 na imekuwa ikiongoza kama moja ya ligi bora ulimwenguni. Ligi hii inajumuisha vilabu vikubwa kama Juventus, AC Milan, Inter Milan, AS Roma, na nyinginezo. Ushindani katika Serie A ni mkubwa, na mechi kati ya vilabu hivyo vinavyoongoza mara nyingi huwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki na wapenzi wa soka.
  2. Serie B: Serie B ni ligi ya pili kwa ukubwa nchini Italia. Vilabu vinavyoshiriki Serie B hukabiliana katika mashindano makali ya kuwania kufuzu kwenda Serie A, na pia kujaribu kuepuka kushuka daraja kwenda Serie C.
  3. Serie C: Serie C ni ngazi ya tatu katika mfumo wa ligi ya mpira wa miguu nchini Italia. Inajumuisha makundi kadhaa ya timu, na vilabu hukabiliana ili kufuzu kwa Serie B.

Ligi au madaraja haya ya soka nchini Italia imepelekea kuwa na ushindani wa kiwango cha juu baina ya timu na timu, kupitia application ya Meridianbet sasa unaweza kubeti kwenye ligi inayokuvutia Italia kutokea popote pale utakapo kuwepo.

Beti kwenye Mechi za Italia

Kwa uchambuzi huu wa kina ni wazi kwamba mpira wa miguu ni mchezo unaovutia nchini Italia kiasi cha kupata mashabiki duniani kote. Usipitwe na burudani ya soka la Italia, jiunge meridian na wadau wa kubashiri soka uanze kuweka beti kwenye mechi za Italia leo.

general.scroll_to_top