Ligue 1 - Ligi kuu Ufaransa | Odds Bomba

Mpangilio wa jumla:

Wakati na Tarehe
Ligi

Wakati

Saa 1
Masaa 3
siku 1
siku 3
Zote
Mpira wa Miguu
Matokeo ya mwisho
1
X
2
Chini ya
O/U
Zaidi
Wote wa Timu ya alama
GG
GG&3+
GG&4+
Ufaransa - Ligue 1
1500
19:45
13.12.
Ufaransa - Ligue 1
Toulouse FC
AS Saint-Etienne
1.45
4.60
7.60
2.06
2.50
1.80
2.03
2.50
3.70
1531
16:00
14.12.
Ufaransa - Ligue 1
Olympique Marseille
Lille OSC
2.20
3.55
3.30
1.90
2.50
1.91
1.76
2.25
3.55
1496
18:00
14.12.
Ufaransa - Ligue 1
AJ Auxerre
RC Lens
3.95
3.65
1.95
1.93
2.50
1.88
1.79
2.27
3.55
1025
20:00
14.12.
Ufaransa - Ligue 1
Stade Reims
AS Monaco
3.50
3.70
2.07
2.13
2.50
1.72
1.64
2.02
3.00
1523
14:00
15.12.
Ufaransa - Ligue 1
Montpellier HSC
OGC Nice
3.00
3.65
2.30
2.10
2.50
1.74
1.64
2.02
3.05
1238
16:00
15.12.
Ufaransa - Ligue 1
Stade Rennes
Angers SCO
1.62
4.20
5.40
1.89
2.50
1.92
1.98
2.50
3.90
1503
16:00
15.12.
Ufaransa - Ligue 1
Le Havre AC
Strasbourg Alsace
3.05
3.25
2.45
1.81
2.50
2.00
1.78
2.35
3.80
1522
16:00
15.12.
Ufaransa - Ligue 1
Stade Brest 29
FC Nantes
2.05
3.45
3.80
1.66
2.50
2.23
2.02
2.70
4.65
1505
19:45
15.12.
Ufaransa - Ligue 1
Paris Saint-Germain
Olympique Lyon
1.42
5.60
6.20
2.03
3.50
1.80
1.50
1.64
2.08
0497
20:00
18.12.
Ufaransa - Ligue 1
AS Monaco
Paris Saint-Germain
3.15
3.85
2.15
1.66
3.50
2.23
1.47
1.73
2.42

Ligue 1 - Ligi kuu Ufaransa | Odds Bomba

Pata ushindi mkubwa na odds bomba kutoka Meridianbet, beti kwenye Ligue 1 - Ligi kuu Ufaransa na uibuke mshindi wa mechi za timu ndani ya ligi pendwa nchini Ufaransa.
Meridianbet ndio chaguo nambari moja kwa wapenzi wote wa kubeti nchini Tanzania, Meridianbet ni jukwaa la ushindi mnono na odds bomba. Chimbo pekee lenye uzoefu kwenye sekta ya kubashiri mtandaoni Tanzania. Jukwaa lenye takwimu, zana na habari za kutosha zinazomuongoza mdau wa kubeti live au kubashiri mtandaoni kwa uhakika zaidi.


Historia ya Ligi Kuu Ufaransa - Ligue 1

Ligue 1 ndio ligi kuu nchini Ufaransa, Ligue 1 ambayo ndio ligi ya daraja la kwanza nchini humo ilianzishwa mnamo mwaka 1932 na ilipewa jina la Division 1(Daraja la kwanza) na baadaye mwaka 2002 ligi kuu hio ilibadilishwa jina na kuitwa Ligue 1.


Ligue 1 ilihusisha timu 20 ambapo timu hizo hucheza jumla ya mechi mbili (2) nyumbani na ugenini kwa kipindi cha msimu mmoja. Mfumo huo wa team 20 kwenye Ligue 1 ndio mfumo unaotambulika na kutumika mpaka mechi za hivi leo.


Mabingwa wa Ligue 1 - Ligi Kuu Ufaransa

Kuanzia kuanzishwa kwa Ligue 1 - Ligi kuu ya Ufaransa, timu tofauti zimeshawahi kuutwa na shinda ubingwa wa ligi hio ya Ufaransa. Zifuatazo ni timu 12 za Ligue 1 ambazo zimeshinda ubingwa wa ligi kuu Ufaransa mara nyingi zaidi;

  • Saint Etienne imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 10
  • PSG imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 10
  • Olympique de Marseille imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 9
  • Nantes imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 8
  • Monaco imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 8
  • Olympique Lyon imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 7
  • Bordeaux imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 6
  • Reims imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 6
  • Nice imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 4
  • Lille imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 4
  • Sete imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 2
  • Sochaux imeshinda ubingwa wa Ligue 1 mara 2

Timu zilizobahatika kuchukua ubingwa walau mara moja ni Lens, FC Rouen, RC Strasbourg, AJ Auxerre, na Montpellier HSC.


Timu Saba (7) Zenye Ushiriki Mkubwa Ligue 1

Ligue 1 ambayo ndio ligi kuu ya daraja la kwanza nchini Ufaransa haikupewa jina hilo mpaka msimu wa mwaka 2002/2003. Ligi kuu Ufaransa kwa ujumla wake kutokea kuanzishwa kwake mwaka 1932 umeshirikisha timu kadhaa wa kadhaa, zifutazo ni timu saba (7) zilizoshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara nyingi zaidi;

  • Marseille imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 70
  • Bordeaux imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 67
  • Saint Etienne imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 67
  • Sochaux imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 66
  • Rennes imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 63
  • Lyon imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 62
  • Monaco imeshiriki michuano ya ligi kuu Ufaransa mara 61

Kuanzia kuanzishwa kwa Ligi kuu ya Ufaransa mwaka 1932 ni timu 74 ndio zimewahi kushiriki mashindano hayo mpaka sasa.


Wachezaji Bora Ligue 1

Wachezaji bora waliowahi kubariki ligi kuu ya Ufaransa kwa namna zote mbili, ufungaji bora na assist bora (wagawa pasi za goli bora) wanakumbukwa kwenye historia ya mpira wa soka nchini humo. Wafuatao ni wachache miongoni mwa wafungaji bora na assist bora Ligue 1.


Wafungaji Bora Ligue 1

Tazama wafungaji nane (8) bora kuanzia kuanzishwa kwa ligi kuu ya Ufaransa

  1. Delio Onnis mwenye magoli 159
  2. Jean-Pierre Papin mwenye magoli 156
  3. Bernard Lacombe mwenye magoli 153
  4. Kylian Mbappe mwenye magoli 148
  5. Pauleta mwenye magoli 141
  6. Edinson Cavani mwenye magoli 138
  7. Sonny Anderson mwenye magoli 138
  8. Wissam Ben Yedder mwenye magoli 137


Watoa Pasi Za Goli (assist)

Tazama watoa pasi za goli (assist) bora kuanzia kuanzishwa kwa ligi kuu Ufaransa

  1. Dimitri Payet mwenye assists 115
  2. Angel Di Maria mwenye assists 72
  3. Jimmy Briand mwenye assists 63
  4. Ryad Boudebouz mwenye assists 60
  5. Kylian Mbappe mwenye assists 55
  6. Mathieu Valbuena mwenye assists 53
  7. Julien Feret mwenye assists 53
  8. Neymar mwenye assists 47
  9. Memphis Depay mwenye assists 45

Wachezaji bora hawaishii pekee kwenye wafungaji bora na wagawa pasi za goli nyingi zaidi, pia wapo walinda mlango bora kutokea kwenye ligi kuu hio ya Ufaransa.


Wafungaji Bora Ligue 1 2022/23

Msimu huu wa 2022/23 kwenye Ligi kuu ya Ufaransa umekuwa ukiambatana na vipaji lukuki ambavyo huendelea kuonyesha ujuzi wao wa ufungaji magoli. Hawa wafuatao ndio wachezaji 9 (tisa) ambao wanaoongoza kufunga magoli Ligue 1 msimu huu wa 2022/2023;

  • Kylian Mbappe mwenye magoli 13
  • Terem Moffi mwenye magoli 12
  • Jonathan David mwenye magoli 12
  • Wissam Ben Yedder mwenye magoli 11
  • Neymar mwenye magoli 11
  • Alexandre Lacazette mwenye magoli 11
  • Balogun mwenye magoli 10
  • Embolo mwenye magoli 10
  • Lois Openda mwenye magoli 9

Weka beti sasa kubashiri ni mchezaji gani wa Ligue 1 atamaliza msimu huu wa 2022/2023 na magoli mengi hatimaye kuchukua kiatu cha dhahabu kwenye ligi kuu Ufaransa kupitia Meridianbet - Jukwaa la washindi na odds bomba.


Watoa Pasi Za Goli(Assists) Bora Ligue 1 2022/2023

Vipaji na majina tofauti yamekua yakisindika historia kwenye Ligue 1 - Ligi Kuu Ufaransa, wafuatao ndio wachezaji wanaoongoza kwa assists nyingi Ligue 1 msimu huu wa 2022/23;

  1. Lionel Messi mwenye assists 10
  2. Neymar mwenye assists 10
  3. Jonathan Clauss mwenye assists 7
  4. Remmy Cabella mwenye assists 6
  5. Florian Sotoca mwenye assists 6
  6. Rony Lopez mwenye assists 5
  7. Caio Henrique mwenye assists 5

Kubashiri mtandaoni ni mchezaji gani wa Ligue 1 atamaliza msimu wa 2022/23 na assists nyingi zaidi, tembelea Meridianbet - Jukwaa la washindi na odds bomba.


Msimamo Ligi Kuu Ufaransa 2022/23

Ligue 1 ndio ligi ya daraja la kwanza ama Ligi kuu nchini Ufaransa imekaribia kufikia nusu wa msimu wa 2022/23. Msimu huu ulioanza tarehe 5 Agosti 2022 na kutarajia kufika mwisho tarehe 4 Juni 2023 ndio msimu wa 85 Ligi kuu ya Ufaransa kutokea kuanzishwa kwake. Huku msimu huu wa 2022/23 ndio utakua msimu wa mwisho kwa Ligi hiyo ya Ligue 1 kuwepo na timu 20 zikishiriki, mwisho wa msimu huu timu 4 zeneye alama ndogo kuliko zitashuka daraja na kujiunga na Ligue 2 - Ligi ya daraja la pili Ufaransa. Huu ndio msimu wa mwisho kwa ligi kuu ya Ufaransa kuwa na washiriki wa timu 20, baada ya msimu huu timu shiriki zitakuwa ni timu 18.


PSG ndio timu inayoongoza Ligue 1 msimu huu ikiwa na pointi 47 huku ikiwa imeshacheza jumla ya mechi 19, ikifuatiwa na Lens wenye pointi 44 na timu ya 3 ikiwa ni Marseille yenye pointi 42. Msimu ukiwa umefikia nusu, klabu zote shiriki za Ligue 1 zimeshacheza jumla ya idadi 19 za mechi kwenye michuano hio.


Meza ya Ligi Kuu Ufaransa 2022/23

Nafasi Timu Idadi Ya Mechi Pointi
1 PSG 19 47
2 Lens 19 44
3 Olympique Marseille 19 42
4 Monaco 19 37
5 Stade Rennaise 19 37
6 Lille 19 34
7 Lorient 19 32
8 Clermont 19 28
9 Lyonn 19 25

Huu ndio msimamo wa Ligue 1 msimu huu wa 2022/23, kwa msimamo kamili wa ligi kuu ya Ufaransa tembelea Meridianbet sasa, ungana na washindi wengine na uanze kubeti mtandaoni na Meridianbet - Ushindi mnono, odds bomba.


Ratiba Ligi Kuu Ufaransa 2022/23

Fuatilia moja kwa moja ratiba yote kamili ya Ligue 1 mtandaoni kwa kupitia Meridianbet, sehemu pekee ambapo utakana na ratiba ya mechi zote za msimu huu za ligi kuu ya Ufaransa.
Tazama ratiba kamili ya Ligi Kuu Ufaransa kwa kutembelea kurasa zetu za takwimu au kutembelea Ligi Kuu ya Ufaransa ambapo utaona odds bomba zenye ushindi mnono zilizoambatana na kila mechi ya Ligue 1 2022/23. Vilevile Meridianbet inakuruhusu kubeti live mtandaoni huku mechi zikiwa zinaendelea.


Matokeo Ligi Kuu Ufaransa

Ikiwa umesha weka beti yako kwenye Ligue 1 - Ligi kuu ya Ufaransa na hukubahatika kuangalia mechi hio, Meridianbet inakupa matokeo yote ya Ligi kuu ya Ufaransa. Iwe unataka kujua matokeo ya jana Ligue 1, matokeo ya mechi live Ligue 1, na matokeo ya mechi za leo Ufaransa tembelea tovuti yetu au pakua application yetu sasa na ufurahie ulimwengu wa Kubeti na Meridianbet.


Kufuatia majina ya wachezaji mahiri kwenye Ligi kuu ya Ufaransa kama Lionel Messi, Kylian Mbappe, Neymar na wengineo kibao hupelekea ligi hio maarufu kama Ligue 1 kuwa moja wapo ya ligi pendwa kwa wadau wote wa michezo ya kubeti kawaida na kubeti live mtandaoni. Chagua Meridianbet ili uweze kubeti live kwenye Ligi kuu ya Ufaransa na kujinyakulia ushindi mkubwa na odds bomba zilizopo kwenye kila mechi ya Ligue 1 msimu huu wa 2022/2023.

general.scroll_to_top