Epic Jackpot
-
Kutoka: -
-
Kwenda: -
expanse-logo
expanse-avatar
-
-
-
Latest Winner
-
-
Largest Winner
-
-
expanse-avatar
-
-
-
Latest Winner
-
-
Largest Winner
-
-
expanse-avatar
-
-
-
Latest Winner
-
-
Largest Winner
-
-
img
-
icon Number of Winners: -
Largest Winner
-
-
Latest Winner
-
-
img
-
icon Number of Winners: -
Largest Winner
-
-
Latest Winner
-
-
img
-
icon Number of Winners: -
Largest Winner
-
-
Latest Winner
-
-
img
-
icon Number of Winners: -
Largest Winner
-
-
Latest Winner
-
-
new
CHANCE MACHINE 5
2021 HIT SLOT
GATES OF OLYMPUS DICE
new
ROYAL COINS: HOLD AND WIN
FRUIT INVADERS
hot
BIGGER BASS BONANZA
LUCKY DICE 3
new
ZEUS VS HADES - GODS OF WAR
hot
BLAZING CROWN
HOT TO BURN
WILD WHITE WHALE
LUCKY CLOVERLAND

Ni ya Moto Wiki Hii

new
Beach Penalties
SUPER HELI
TITAN ROULETTE
WILD ICY FRUITS

Gemu Tunazozipenda

WILD ICY FRUITS
LUCKY LADYS CHARM DELUXE
50 WILD CASH
BOOK OF SPELLS

Michezo Ya Mezani Kwenye Kasino Ya Meridianbet

Michezo ya mezani kwenye kasino ni michezo yote ambayo huchezwa kwenye meza za kasino. Mfano wa michezo ya meza ndani ya kasino ni kama vile Michezo ya Roulette, Michezo ya Karata (Mchezo wa Blackjack, mchezo wa Baccarat, na mchezo wa Poker) pamoja na michezo ya kete kama Sic Bo na Titan Dice.


Michezo hii ya mezani inapatikana kwenye kasino bora nchini Tanzania - Meridianbet. Meridianbet ina zaidi ya michezo 350 ya kasino, huku kila mchezo wa kasino mezani ukiwa na sifa za kipekee ambazo hupelekea kupendwa na wadau wa michezo ya roulette, michezo ya poker(poka), na michezo ya blackjack.


Kila mchezo unaopatikana kwenye kasino ya Meridianbet unaambatana na maelekezo ya mchezo huo na vile vile kasino hio inaruhusu wachezaji au wadau wa kubeti kujaribu kucheza mchezo kwa njia ya “Demo” ili kumuwezesha mchezaji kuweza kuuelewa mchezo kabla hajaweka beti yake halisi au dau halisi. Miongoni mwa michezo ya mezani kwenye kasino inayoruhusu kuujaribu(demo) kucheza mchezo ni “Titan Roulette”, “Diamond Blackjack” , “American Poker”, na michezo mingine kibao ya mezani ndani ya kasino ya mtandaoni.


Cheza Roulette Ya Meridianbet

Mchezo wa roulette ni mchezo wa mezani kwenye kasino, roulette ni moja ya michezo ambayo imekuwa ikipendwa na wachezaji michezo ya kasino duniani kote hii ni kutokana na kwamba roulette ni kati ya michezo ya mwanzoni kuvumbuliwa kwa upande wa michezo ya kasino, hivyo kupelekea mchezo huo kuzoeleka na kupendwa sana na wapenzi wa michezo ya kasino.


Roulette ni mchezo ambao ulianzishwa barani Ulaya nchini Ufaransa na mwanahisabati “Blaise Pascal” mnamo miaka ya 1600, mchezo huu ulipokelewa vyema kwenye jamii za wadau wa michezo ya kasino na hatimaye roulette ukaja kuwa michezo iliyouza sana kwenye kasino zote duniani, ni vigumu kutembelea kasino yoyote iwe ni kwenye nyumba ya kasino au kasino ya mtandaoni ni lazima ukutane na mchezo wa roulette.


Aina Za Mchezo Wa Roulette

Mchezo wa Roulette unapatikana kwa aina kuu mbili ambazo ni;

  1. Roulette Ya Ulaya
  2. Roulette Ya Marekani.


Tofauti kuu kati ya mchezo wa roulette ya Marekani (American roulette) na roulette ya Ulaya (European roulette) ni idadi ya nafasi au sehemu zilizopo kwenye gurudumu.


Mchezo wa roulette wa Marekani una gurudumu lenye nafasi 38 zenye nambari, ikiwa ni pamoja na sifuri mbili na nambari 1 mpaka 36. Nafasi ya ziada ya sifuri mbili inaipa kasino faida kubwa zaidi, hivyo kufanya mchezo huo kuwa na maslahi kidogo kwa wachezaji ikilinganishwa na mchezo wa roulette ya Ulaya.


Kwa upande mwingine, mchezo wa roulette ya Ulaya una gurudumu lenye nafasi 37 zenye nambari, ikiwa ni pamoja na sifuri moja na nambari 1-36. Hii inampa mchezaji nafasi ya maslahi bora ya kushinda ikilinganishwa na mchezo wa roulette wa Marekani.


Tofauti nyingine ni kwamba mpangilio wa nambari kwenye gurudumu ni tofauti kidogo kati ya toleo hizo mbili. Hata hivyo, chaguo za kubeti na malipo kwa ujumla ni sawa kwa aina zote mbili za mchezo wa roulette.


Kwa ujumla, kasino inapata faida kidogo katika mchezo wa roulette ya Ulaya ikilinganishwa na mchezo wa roulette ya Marekani, hivyo kufanya mchezo wa roulette ya Ulaya kuwa chaguo lenye nafasi bora ya ushindi kwa wachezaji.


Michezo Ya Roulette Ndani Ya Meridianbet

Baadhi ya michezo ya roulette inayopatikana kwenye kasino bora ya mtandaoni Tanzania ni kama michezo ifuatayo;


Hii ni baadhi ya aina mbali mbali za michezo ya roulette inayopatikana kwenye kasino ya mtandaoni Meridianbet, jisajili na uanze kucheza roulette kutokea popote pale ulipo kwa kupitia tovuti au kwa kupakua aplikesheni yetu sasa.


Jinsi Ya Kucheza Roulette Mtandaoni

Roulette ni mchezo wa mezani kwenye kasino ambapo mpira mdogo huwekwa kwenye gurudumu linalozungushwa lenye nafasi zenye rangi na namba. Wachezaji huweka beti kwa kubashiri ni wapi mpira utaishia, kwenye namba maalum au kwenye kundi la namba.


Michezo Ya Karata | Blackjack | Poker | Poka | Baccarat

Michezo ya karata inayopatikana kwenye kasino ya Meridianbet ni michezo ya blackjack, michezo ya poka(poker), pamoja michezo ya baccarat. Michezo hii ya karata ndio michezo maarafu ambayo huchezeshwa mezani kwenye kasino zote duniani na mtandaoni.


Mchezo Wa Blackjack

Blackjack ni mchezo maarufu wa karata unaochezwa katika kasino zote ulimwenguni, lengo la mchezo ni kuwa na mkono wa karata wenye thamani ya karibu na 21 kuliko mkono wa muuzaji, bila kuzidi thamani ya 21.


Jinsi Ya Kucheza Blackjack Mtandaoni

Mchezo wa blackjack ni moja ya michezo pendwa ya karata kwenye meza za kasino na vile vile ni rahisi kuucheza mchezo huu wa blackjack, angalia namna ya kucheza blackjack kama ifuatavyo;

  • Mchezo unachezwa kwa bunda moja la karata 52 au zaidi ya bunda moja la karata.
  • Lengo la mchezo wa blackjack ni kuwa na karata zenye thamani inayokaribia 21 na thamani ya juu kuliko thamani ya karata za mchezeshaji(dealer), bila kuzidi 21.
  • Mwanzoni mwa kila raundi ya mchezo wa blackjack, wachezaji huweka dau/beti zao.
  • Kila mchezaji ikiwemo mchezeshaji hupewa karatai mbili. Karata ya kwanza ya mchezeshaji hugeuziwa juu na sura yake kuwa wazi kuonekana, wakati karata ya pili hugeuzwa chini kwa kufunika sura ya karata na kuifanya kuwa siri.
  • Karata zenye namba kuanzia 2 mpaka 10 zina thamani sawa na namba zake, Karata zungu (J, Q, K) zina thamani ya alama 10, na karata dume(karata yenye ‘A’) zinaweza kuwa na thamani ya alama 1 au 11, kulingana na thamani ipi ni bora kwa mchezaji.
  • Wachezaji wanaweza kuchagua "hit" (kupata karata nyingine) au "stand" (kuendelea na karata alizonazo) ili kupata thamani ya karata karibu na 21 bila kuzidi.
  • Ikiwa karata za mchezaji zinazidi 21, atakuwa amepoteza na mchezeshaji(dealer) atachukua dau lake.
  • Baada ya wachezaji wote kumaliza zamu zao, mchezeshaji hufunua karata yake iliyofichwa na lazima kuchukua karata nyingine mpaka afikie angalau alama 17.
  • Ikiwa mchezeshaji(dealer) anazidi alama 21, wachezaji wote waliosalia wanashinda. Ikiwa sivyo, thamani za karata za kila mchezaji zinalinganishwa na thamani za karata za mchezeshaji(dealer), na thamani ya karata zilizo karibu na 21 bila kuzidi ndio mshindi.
  • Pia wachezaji wanaweza kuwa na chaguo la "double down" (kuongeza dau mara mbili na kupata karata nyingine moja) au "split" (kugawa karata zao katika nafasi mbili tofauti) chini ya hali fulani.


Hizo ndizo sheria za msingi za jinsi ya kucheza mchezo wa Blackjack. Je unataka kutengeneza pesa mtandaoni? Basi angalia sheria za blackjack na kisha jisajili Meridianbet na ushinde mamilioni ya pesa sasa hivi.


Cheza Poker Mtandaoni

Mchezo wa poker ni moja wapo ya michezo ya karata iliyojipatia umaarufu kwenye ulimwengu wa kasino. Poker ni mchezo wa karata ambao unaweza kuchezwa na wachezaji wawili hadi wachezaji kumi. Lengo la mchezo huu wa poker ni kushinda "pot" ambayo ni jumla ya pesa zote ambazo wachezaji wote wameweka dau/beti zao.


Jinsi Ya Kucheza Poker Mtandaoni

Mwanzoni mwa mchezo wa poker, kila mchezaji hupewa idadi fulani ya karata (kwa kawaida huwa ni karata tano, lakini inaweza kutofautiana kulingana na aina ya mchezo wa poker unaochezwa). Kisha wachezaji huanza kuweka dau/beti zao kulingana na nguvu ya karata walizonazo.


Mchezo wa poker unahusisha raundi kadhaa za kuweka beti yako, na wachezaji wanaweza kuamua kufunga (kupoteza karata zao na kutoka katika mchezo), kufuata (kufanana na dau lililopo kwa wakati huo), au kuongeza dau (kuongeza dau la wakati huo).


Mwishoni mwa raundi ya mchezo wa poker, wachezaji wote waliosalia huonyesha karata zao na mchezaji mwenye karata zenye nguvu zaidi anashinda "pot".


Nguvu ya karata alizokuwa nazo kila mchezaji unategemea mfumo wa viwango vya karata za poker, ambayo ni orodha maalum ya mchanganyiko wa karata unaoanzia “high card” hadi “Royal flush”.


Kuna aina nyingi za poker, kila mmoja ukitofautiana sheria ndogo ndogo, lakini lengo kuu linabaki sawa - kuwa mchezaji mwenye karata zenye nguvu zaidi atashinda "pot".


Cheza Baccarat Mtandaoni

Baccarat ni mchezo wa karata ambao mara nyingi huchezwa kwenye kasino. Lengo la mchezo wa Baccarat ni kupata karata zenye thamani karibu na 9 iwezekanavyo.


Jinsi Ya Kucheza Baccarat

Kwenye mchezo wa baccarat, karata zina thamani ya pointi. Karata zenye namba 2 hadi 9 zina thamani sawa na namba yake, wakati karata zenye alama 10, J, Q, na K hazina thamani na zina pointi 0. Karata A zina pointi 1.


Mwanzoni mwa mchezo wa baccarat, unaweza kubeti kama "player(mchezaji)" au "banker" atapata mkono wenye thamani kubwa. Unaweza pia kubeti kwa Tie.


Mchezaji na banker wanapewa karata mbili. Ikiwa thamani ya mkono wao ni 8 au 9, huitwa "natural," na hawachukui tena karata. Ikiwa thamani ya karata ni chini ya 8, mchezaji anaweza kuchagua kuchukua karata nyingine. Ikiwa mchezaji amesimama, banker anaweza kuchagua kuchukua karata nyingine ikiwa karata zake zina thamani chini ya 5.


Baada ya kugawa karata zote, karata zenye thamani kubwa hushinda. Ikiwa mchezaji anashinda, atapata malipo sawa. Ikiwa banker anashinda, utalazimika kulipa 5% ya commission kutoka kwenye ushindi wako. Ikiwa kuna Tie, kawaida unalipwa 8 kwa 1 kwenye beti yako.


Sasa baada ya kujifunza jinsi ya kucheza mchezo wa Baccarat unaweza kuanza kufanya majaribio kwa kutumia matoleo ya kijaribio la michezo ya Baccarat na ukiwa tayari kutengeneza pesa zaidi mtandaoni utafungua akaunti na kujisajili kwenye kasino bora Tanzania na ujipate kwa kucheza baccarat.


Michezo Ya Mezani Kama Poker, Roulette, Blackjack & Baccarat Ndio Utamu Wa Kasino

Michezo yote ya mezani inayopendwa na wadau wa kucheza michezo ya kasino kwenye majumbaa ya kasino na pia mtandaoni wanavutiwa kucheza michezo kama baccarat, blackjack, poker na roulette kwa sababu ya jinsi gani ilivyokua rahisi kujifunza, kuuelewa na kuicheza michezo hio vile vile michezo hii ya roulette, blackjack, baccarat na poker ina faida kubwa haswa kwenye kasino bomba ya mtandaoni nchini Tanzania - Meridianbet.

general.scroll_to_top