Tabiri Tenesi kwa Odds Kubwa – Kupitia Meridianbet pekee

Panga Kwa
Wakati
Ligi
Wakati:
1H
3H
Leo
siku 3
Wote
Matukio Moja kwa moja
Tenisi
Mshindi wa Mechi
1
2
Mshindi wa Mechi
1
2
Seti ya 1 - Matokeo ya mwisho
1 - 1
1 - 2
2 - 1
2 - 2
Anashinda seti ya 2
1
2
Jumla ya Michezo
Chini ya
O/U
Zaidi
Jumla ya Michezo
Chini ya
O/U
Zaidi
Seti ya Kwanza - Jumla ya Michezo
Chini ya
O/U
Zaidi
Michezo ya Nyumbani - Jumla
Chini ya
O/U
Zaidi
Jumla ya Michezo ya Ugenini
Chini ya
O/U
Zaidi
Handikapu ya Michezo
1
HD
2
Handikapu ya Michezo
1
HD
2
Handikap ya Seti
1
HD
2
Michuano ya Wazi ya Australia - Men's Singles
09:30
Leo
Ben Shelton
Casper Ruud
+173
1.56
2.57
1.92
40.5
1.92
1.97
-3
1.87
+173
00:30
Kesho
Lorenzo Musetti
Novak Djokovic
+54
3.52
1.34
+54
02:30
Kesho
Alexander Zverev
Learner Tien
+171
1.52
2.68
1.95
38.5
1.89
1.89
-3.5
1.95
+171
Michuano ya Wazi ya Australia - Australian Open Women's Singles
08:00
Leo
Maddison Inglis
Iga Swiatek
+130
25
1.01
1.81
16.5
2.04
1.77
8
2.09
+130
00:30
Kesho
Aryna Sabalenka
Iva Jovic
+151
1.16
5.95
1.95
19.5
1.89
1.98
-5.5
1.86
+151
00:30
Kesho
Jessica Pegula
Amanda Anisimova
+22
2.26
1.70
+22
WTA Manila Open - Manila Open Women's Singles
07:45
Leo
Peangtarn Plipuech
Yuliia Starodubtseva
+34
10
1.02
1.87
16.5
1.83
1.89
7.5
1.81
+34
08:00
Leo
Camila Osorio
Sakura Hosogi
+2
+2
UTR Pro Tennis - Dubai Women
07:50
Leo
Hrdinkova, Denise
Roots, Andrea
+20
1.03
7.80
+20
07:50
Leo
Atia, Mariam
Sedlackova, Petra
+20
8.40
1.02
+20
07:50
Leo
Boehner, Laura
Vasilescu, Arina Gabriela
+20
2.45
1.44
+20
UTR Pro Tennis - Gyor Men
08:00
Leo
Belkovics, Achilles
Shylov, Heorhii
+20
1.64
2.04
+20
08:00
Leo
Kalabishka, Maksym
Hopp, Michel
+20
3.55
1.22
+20
08:00
Leo
Halahija, Nathan Andre
Voljavec, Antonio
+20
5.20
1.11
+20
UTR Pro Tennis - Krakow Men
08:00
Leo
Jurajda, Adam
Radovanovic, Tadija
+20
1.11
4.90
+20
08:00
Leo
Hujo, Ondrej
Wojnar, Bartosz
+20
1.73
1.91
+20
08:00
Leo
Bienkiewicz, Juliusz
Stidell, Filip
+20
1.47
2.38
+20
Challenger Manama - Men's Singles
08:00
Leo
Erel, Yanki
Kachmazov, Alibek
+60
2.03
1.70
1.85
1.5
1.85
+60
08:00
Leo
Albot, Radu
Oberleitner, Neil
+34
1.54
2.32
+34
08:00
Leo
Barton, Hynek
Blanch, Dali
+60
1.09
6.20
2.01
-5.5
1.72
+60
UTR Pro Tennis - UTR Trnava Women
08:00
Leo
Polakovicova, Adela
Hertel, Anna
+20
6.20
1.07
+20
ITF Fujairah - Women's Singles
08:08
Leo
Jana Kolodynska
Karla Popovic
+6
1.11
5.70
+6
ITF Zahra - ITF Zahra Men's Singles
08:11
Leo
Guelfo Baldovinetti
Barney Fitzpatrick
+6
1.87
1.87
+6
08:11
Leo
Melih Anavatan
David Qariaqus
+6
1.15
4.85
+6
08:12
Leo
Tristan Stringer
Ivan Zaytsev
+6
1.15
4.85
+6

Tennis Betting


Mchezo wa tenesi ulianza kujipatia umaarudu nchini Uingereza miaka ya 1800s. Mwanzoni ulikuwa unaonekana kama ni mchezo wa matajiri ambapo pia ulisambaa miongoni mwa yaliyokuwa makoloni ya Muingereza mwanzoni mwa karne ya 20. Mpaka kufikia 1960s, mchezo wa tenesi uliokuwa bado ukionekana kama sio mchezo wa kuvutia lakini hii ilibadilika baada ya kuanza kuoneshwa kwenye TV. Muda mfupi baadae, majina kama Rod Laver na Martina Navratilova yakaanza kuwa maarufu na leo hii, watu kama Roger Federer na Serena Williams ni wachezaji nyota wa kimataifa.
Kitu cha kuvutia kuhusu mchezo wa tenesi ni kwamba, licha ya kuwa na mashindano ya grand slams kila mwaka, kunamechi kadhaa za ATP. Kimsingi, kwa wanaopenda kubashiri kwenye mchezo wa tenesi, kuna tukio linatokea kila siku na uwe na uhakika kuwa tutakuwa tumeliweka kwenye tovuti yetu na tayari kupokea utabiri wako kupitia Meridianbet!


Tabiri za mchezo wa Tenesi


Kama ilivyo kwenye kutabiri mchezo wa kikapu au soka, kuna machaguo mengi ambayo unaweza kuyatumia kuweka dau lako kwenye mchezo husika wa tenesi. Kiuhalisia, kwenye nyakati hizi za teknolojia, kuna machaguo mengi kuliko kawaida.
Japokuwa mfumo wa kulipa kwanza unaendelea kuwa maarufu Zaidi. Hii ni utamaduni wa kubashiri ambao mchezaji atashinda. Kwamfano umetabiri Federer atamfunga Nadal. Kama Federer amepatiwa mara 1.20 kwenye mfumo wa pesa, inamaanisha dau lako la $10 litakupatia faida ya $12 kama akishinda. Tabiri za mfumo wa pesa sio lazima ziwe kwenye mchezo wenyewe, kwamfano unaweza kumdhamini Federer kushinda seti ya kwanza.
Aina nyingine ya kubashiri mchezo wa tenesi ni ubashiri wa mchezo husika. Hii ni aina bora ya kubashiri mchezo wa tenesi ambapo mchezaji mmoja anakuwa amepatiwa odds kubwa. Kwa mfano, Serena Williams anachuana na mchezaji mdogo kwenye mchezo wake wa kwanza. Kiuhalisia, Wiliiams atakuwa amepatiwa nafasi ya kushinda, lakini kwenye mfumo wa kutabiri mchezo, utapata pesa kwa kumdhamini mchezaji yeyote kulingana na mchezo ulivyo, ni kama handicap.
Kwenye mfano huu, mchezo unaweka kuwa ni 4.5 kwa hiyo kama ukimdhamini Williams, atahitaji kushinda michezo 5 zaidi ya mpinzani wake kwenye mchezo mzima ili upatiwe malipo. Hii inamaanisha kama Williams atashinda 6-2, 6-3, atakuwa ametimiza vigezo na utakuwa umeshinda ubashiri wako. Lakini kama akishinda 6-4, 6-4, hii haitatosha na waliomdhamini mchezaji anayefuzu watapatiwa ushindi. Pia unaweza kucheza kwa seti ambapo mfumo ni uleule kama ilivyo kwenye mchezo mzima lakini utabashiri kwa seti.


Utabiri Wa Tenesi Mubashara


Unaweza kuizingatia aina nyingine ya ubashiri kwenye mchezo wa tenesi, hiyo ni kujaribu ubashiri mubashara kupitia Meridianbet. Hapa, utaweza kubashiri wakati mchezo ukiendelea. Odds zinaboresha kila muda wakati mchezo ukiwa unaendelea na kila wakati wa mapumziko, ace au double fault unakuwa na matokeo.
Kwamfano, mchezaji mmoja ameanza mchezo vibaya na amezidiwa break serve mbili na amepoteza seti ya kwanza kirahisi. Odds za kumpaushindi mchezaji huyo zitakuwa kubwa lakini kama utajiamini kuwa atarejea mchezoni na kuazna kufanya vizuri, huu utakuwa ni wakati mzuri kumdhamini ushindi.


Odds Kubwa Mtandaoni


Haijalishi ni aina gani ya kutabiri mchezo wa tenesi umeamua kuijaribu, utakuwa unaangalia odds kubwa. Ni suala la kawaida, sisi sote hapa Meridianbet tunaipenda michezo hii inaamana hata sisi tungezingatia hilo. Ndio maana tuna timu ya wataalamu ambayo muda wote wanalifuatilia soko la ubashiri, wakirejea namba zinazowekwa na wataalamu wa michezo duniani na kuhakikisha kuwa odds tunazoziweka kupitia Meridianbet ni kubwa kuliko utakazozipata sehemu nyingine yeyote.
Ni sababu moja wapo ya kwanini wapenzi wengi wa michezo wanatumia Meridianbet, sio kwa kubashiri mchezo wa tenesi tu lakini pia kwa kuweka madau kwenye matumiko mengine makubwa na madogo kwenye michezo ndani na nje ya Tanzania.

uu ya Ukurasa
Tiketi
Hali ya Tiketi
Ukaguzi wa Tiketi
Tiketi wazi
Tiketi zilizolipwa

Ingia ili kuona tiketi za karibuni