Ligi Kuu Bara NBC

Mpangilio wa jumla:

Wakati na Tarehe
Ligi

Wakati

Saa 1
Masaa 3
siku 1
siku 3
Zote
Mpira wa Miguu
Matokeo ya mwisho
1
X
2
Chini ya
O/U
Zaidi
Wote wa Timu ya alama
GG
GG&3+
GG&4+
Tanzania - Ligi Kuu
1547
13:00
19.09.
Tanzania - Ligi Kuu
KMC FC
Azam FC
4.60
3.14
1.67
1.54
2.50
2.27
2.17
2.85
5.50

Ligi Kuu Bara 23/24 Msimu Wa Mabingwa

Ligi Kuu Bara chini ya udhamini wa NBC ni ligi ya kiushindani wa juu kabisa nchini Tanzania, inasimamiwa na shirikisho la soka nchini Tanzania TFF. Ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama "Ligi ya Taifa". Jina hilo lilibadilishwa kuwa "Ligi Daraja la kwanza" na tena ikabadilishwa kuwa ‘’Ligi Kuu’’ mnamo mwaka 1997 na hatimaye kuwa Ligi Kuu Bara.

Msimu huu wa 2023/24 Ligi kuu ya Tanzania Bara imeanza kwa kishindo huku timu za mpira zinazoshiriki kugombania kinyanganyiro hicho zimejiimarisha kwa kufanya usajili wa wachezaji nguli kutoka sehemu mbali mbali. Meridianbet ikiwa kama chimbo bora la kubashiri linakuletea odds kubwa za uhakika kwenye mechi za ligi kuu bara 2023/24, ni rahisi tembelea tovuti yetu au pakua app yetu uanze kubeti kwenye Ligi kuu ya Tanzania.


Historia Ligi Kuu Bara

Historia ya Ligi Kuu Tanzania bara inaanzia mwaka 1929 ilipoanzishwa kifukara tu, kwa sababu ya mapenzi ya watu na soka, wakaamua kuungana na kuanzisha michuano ya soka kutafuta bingwa, ingawa ni timu za Dar es Salaam pekee zilizokuwa zikishiriki wakati huo.


Kufika mwaka 1965, ilianzishwa michuano ya Klabu Bingwa Tanzania, ambayo ilikuwa inaanzia ngazi ya Wilaya, ikichezwa kwa mtindo wa mtoano, ingawa pia katika miaka miwili ya mwanzoni, timu za Dar es Salaama pekee ndizo zilizoshiriki.


Katika mfumo huu wa soka, bingwa wa kwanza ilikuwa ni klabu ya Sunderland ambayo hivi sasa inajulikana kama Simba SC ya Dar es Salaam, ambayo ilifanikiwa kutetea ubingwa wake msimu uliofuata, kabla ya kuutema kwa Cosmopolitan ya Dar es Salaam mwaka 1967.


Lakini wakati wote huo, bado Tanzania ilikuwa haijawa mwanachama wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hivyo Sunderland hawakuwahi kucheza michuano ya Afrika. Cosmo ingekuwa ya kwanza kucheza Klabu Bingwa Afrika mwaka 1968 kama isingejitoa, lakini kwa kujitoa kwao, Yanga ilifungua historia ya ushiriki wa klabu za Tanzania kwenye michuano ya Afrika mwaka 1969, baada ya kutwaa ubingwa wa nchi kwa mara ya kwanza mwaka 1968, kabla ya kuutetea mara nne mfululizo, katika miaka ya 1969, 1970, 1971 na 1972. Baada ya hapo, Sunderland ikiwa tayari imebadili jina na kuitwa Simba kurejesha taji lake mwaka 1973.

Simba ilishindwa kuutetea ubingwa wake msimu uliofuata mwaka 1974 baada ya kupokonywa na Yanga katika fainali ya kihistoria iliyofanyika Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza kwa kuchapwa mabao 2-1. Mwaka 1975 Yanga iliutema ubingwa huo kwa Mseto SC ya Morogoro, iliyoweka historia ya kuwa klabu ya kwanza kutoka nje ya Dar es Salaam kutwaa ubingwa wa ligi kuu bara.


Lakini Mseto ilishindwa kutetea taji hilo, ikapokonywa na Simba msimu uliofuata- na Wekundu wa Msimbazi walifanikiwa kutetea ubingwa huo kwa miaka mitano mfululizo, kuanzia mwaka 1976 hadi 1980.


Siri ya kutawala kwa Simba kwenye ligi kuu bara kwa miaka yote hiyo ni kuyumba kwa Yanga baada ya kukumbwa na mgogoro mkubwa 1976, uliosababisha kukimbiwa na wachezaji wote nyota, hivyo kuanza upya kabisa kuunda timu.


Ni ndani ya kipindi hicho Simba iliweza kulipa kisasi cha kuchapwa mabao 5-0 na Yanga mwaka 1968, wakati nayo ilipowatandika watani wao hao wa jadi 6-0 mwaka 1977. Juni 1, mwaka 1968 Yanga iliigaragaza Simba 5-0, mabao yake yakitiwa Kimiani na Maulid.


Julai 19, mwaka 1977 Simba nayo ililipa kisasi kwa kuibugiza Yanga mabao 6-0, wafungaji wakiwa ni Abdallah 'King' Kibadeni aliyetikisa nyavu mara tatu katika dakika za 10, 42 na 89, wakati mengine yalifungwa na Jumanne Hassan 'Masimenti' dakika za 60 na 73 na Selemani Sanga wa Yanga alijifunga dakika ya 20.
Kufika mwaka 1981, tayari Yanga SC ilikuwa imara tena na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ingawa msimu uliofuata iliutema kwa Pan African.
Kuanzia mwaka 1982, mfumo wa Ligi ya Tanzania ulibadilishwa na kukawa na ligi tatu, kwanza ni Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza visiwani Zanzibar na Ligi Kuu ya Muungano.


Kwa ujumla muongo mzima wa 1980, taji la ubingwa wa Ligi Kuu Bara lilikuwa la kukoponyana, kwani Simba nayo mwaka 1985 ilipokonywa taji hilo na Yanga, ambayo nayo ililitema kwa timu mpya katika Ligi Kuu bara msimu wa 1986, Tukuyu Stars ya Mbeya. Tukuyu nayo iliwarejeshea Yanga taji lao mwaka 1987, wakati mwaka 1988 Wagosi wa Kaya, Coastal Union ya Tanga ilijiingiza katika orodha ya timu zilizowahi kutwaa taji hilo. Mwaka 1989, Yanga ilifunga orodha ya mabingwa ya mabingwa wa muongo huo kwa kutwaa tena ubingwa wa Ligi kuu Bara.

Simba iliibuka mwaka 1990 na kutwaa ubingwa huo, ikitoka kuponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita. Kupokonyana taji kuliendelea hata kwenye muongo wa 1990.


Timu (7) Saba Zilizochukua Ubingwa Ligi Kuu Tanzania Bara.

  1. Simba SC imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 21
  2. Yanga SC imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 29
  3. Mtibwa Sugar imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 2
  4. Mseto SC (Morogoro) imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 1
  5. Coastal Union imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 1
  6. Tukuyu Stars (Mbeya) imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 1
  7. Azam FC imeshinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara 1


Karibu Meridianbet jukwaa bora la kubeti Tanzania, Bashiri ni timu/klabu gani kutoka Tanzania itafanikiwa kushinda taji ligi kuu NBC bara msimu huu wa 2023/24.


Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24

Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2023/24 umepamba moto, huku timu zikichuana kuwania nafasi ya kwanza. Kiwango cha uchezaji kikiwa kimeongezeka, kukiwa na mechi nyingi zenye burudani ya kutosha. Mashabiki wanajitokeza kwa wingi kushabikia timu zao kwa kubeti na Meridianbet, na hivyo kutengeneza hali nzuri katika kila mchezo.

Ushindani ni mkali, huku timu zikijitahidi kupata ushindi na kupanda kwenye msimamo wa ligi kuu bara. Msimu unapoendelea, pambano la kuwania nafasi ya kwanza linatarajiwa kupamba moto, andaa mkeka wako kwa kubeti kwenye mechi za Ligi Kuu NBC Tanzania bara na ufurahie ushindi wenye odds kubwa za uhakika kwa kila mechi msimu huu wa 2023/24.


Msimamo Ligi kuu Tanzania

Msimamo wa ligi kuu Tanzania umetaradadi huku msimu ukiwa umepamba moto, Yanga SC ikiwa ndio timu iliyoongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita na msimu huu wa 2023/24 tukisubiri kujua nani ataongoza msimamo wa ligi kuu.


Mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu wanaweza kufuatilia msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kupitia Meridianbet, vile vile unaweza kubashiri mubashara mshindi wa mechi za ligi Kuu bara kwa kubeti mtandaoni na Meridianbet, Meridianbet ndio kampuni namba moja inayoongoza kwa odds kubwa za uhakika zenye ushindi mnono kwa kila mechi.


Msimamo Wa Ligi Kuu NBC Tanzania 2023/24

Msimamo wa ligi kuu bara NBC msimu huu unatarajia kuonyesha vipaji vya wachezaji kutokea timu tofauti wakionyesha uwezo wao wa kupambania na kupigania timu zao ziweze kunyakua ubingwa wa ligi kuu bara.

Kama mshabiki na mpenzi wa soka, Meridianbet inakupatia odds kubwa za uhakika kila unapotaka kubeti kwenye mechi za ligi kuu NBC 23/24.

Ratiba Ya Ligi Kuu Tanzania

Ligi Kuu Tanzania sio ya kukosa hata mara moja, ili kufuatilia mechi za Ligi Kuu mashabiki na wapenzi wa michezo ya kubeti wanafuatilia Ligi kuu kwa kupitia Meridianbet.


Sasa unaweza kufuatilia ratiba ya ligi kuu Tanzania msimu huu 2023/24 hapa hapa Meridianbet kwa kupitia tovuti au application yetu.
Angalia ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu huu ili uweze kubashiri mtandaoni mapema na kwa uhakika zaidi, fuatilia ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara ili usipitwe na odds kubwa na za uhakika kutoka kwenye kila mechi ya Ligi Kuu NBC.


Matokeo Ya Ligi Kuu NBC Leo

Meridianbet ndio kampuni nambari moja Tanzania inayokupatia matokeo moja kwa moja live yakitokea uwanjani, huku ikikupa uwezo wa kufatilia matokeo ya beti ulizofanya kwenye mkeka wako.

Kuwa wakwanza kujipatia ushinidi mnono kutokana na odds kubwa na uhakika za kila mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kuwa wakwanza kujua matokeo ya mechi zote za NBC ligi kuu Tanzania bara iwe unataka kujua matokeo ya jana, matokeo ya mechi za leo na hata mechi za juzi. Pakua application au tembelea tovuti ya Meridianbet kupata matokeo sahihi na uhakika za mechi zinazoendelea NBC Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2023/24.


Wafungaji Bora Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24.

Pata kuwajua wafungaji bora wa Ligi Kuu NBC Tanzania msimu huu wa 2023/24 kwa kupitia kurasa zetu Meridianbet. Pia unaweza kubashiri mtandaoni ni mchezaji gani atachukua tuzo ya mfungaji bora msimu wa 2023/24. Anza kubeti mtandaoni sasa na ujishindie na odds kubwa za uhakika kwa kila mechi na pia kwenye machaguo kama mfungaji bora.


Meridianbet inakupa uwezo wa kubashiri kwenye machaguo mbalimbali ikiwemo kubashiri mfungaji bora kwa msimu, matokeo ya mechi, magoli sahihi na mtoa assists nyingi zaidi kwenye ligi kuu Tanzania bara. Fuatilia msimu mzima wa Ligi Kuu Tanzania bara 2023/2024 na ubashiri  kwa kubeti mtandaoni na Meridianbet - Odds kubwa zenye uhakika Mnono kwa kila mechi ya ligi kuu bara 2023/24.

Aidha Meridianbet inaoongoza kwa michezo ya casino kama sloti inayoongoza kwa kugawa ushindi mnono, jiunge leo ufurahie shangwe za Meridianbet slots.

general.scroll_to_top