Beti Kwenye Ligi Kuu Uingereza 2023/2024
Mpangilio wa jumla:
Wakati
BETI LIGI KUU UINGEREZA 2023/2024
Ligi kuu ya Uingereza (EPL)
Ligi kuu ya Uingereza (EPL) ndio ligi ya daraja la kwanza nchini Uingereza, Ligi hio ilianzishwa rasmi mwaka 1992 ikiwa inahusisha klabu 22. Klabu hizo 22 ziliozanza msimu wa 1992/93 ni Arsenal, Aston Villa, Blackburn Rovers, Chelsea, Coventry City, Crystal Palace, Everton, Ipswich Town, Leeds United, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Middlesbrough, Norwich City, Nottingham Forest, Oldaham Athletic, Queens Park Rangers, Sheffield United, Sheffield Wednesday, Southampton, Tottenham Hotspur, na Wimbledon. Kati ya hizi klabu 22 ni klabu 6 tu ambazo zimeendelea kuwepo bila kushuka daraja kila msimu mpaka hivi sasa ambazo ni;
- Arsenal
- Chelsea
- Everton
- Liverpool
- Manchester United
- Tottenham Hotspur
Washindi Wa Ligi Kuu Ya Uingereza kutokea ianzishwe
Kutokea kuanzishwa kwa ligi kuu ya Uingereza (EPL) ni zaidi ya misimu 30 imepita na timu 7 tu ndio zimewahi kushinda ubingwa wa soka kwenye ligi kuu ya Uingereza. Ifuatayo ndio orodha ya timu hizo za Uingereza zilizoongoza kuchukua ubingwa wa ligi kuu Uingereza(EPL) mara nyingi zaidi:
- Manchester United imeshinda ubingwa wa EPL mara 13
- Manchester City imeshinda ubingwa wa EPL mara 7
- Chelsea imeshinda ubingwa wa EPL mara 5
- Arsenal imeshinda ubingwa wa EPL mara 3
- Blackburn rovers imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
- Leicester City imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
- Liverpool imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
Jumla ya klabu 50 zimewahi kushiriki kwenye ligi kuu ya Uingereza, huku Brighton & Hove Albion na Huddersfield zilishiriki kwa mara ya kwanza kwenye msimu wa mwaka 2017/18 kwenye hii ligi kuu ya Uingereza.
Msimamo Wa Ligi Kuu Uingereza(EPL) 2023/24
Msimamo wa ligi kuu Uingereza (EPL) msimu huu umeanza na timu zimepamba moto kujinoa kwenye kinyan'ganyiro cha ubingwa wa ligi kuu hiyo msimu huu. Tumeona usajili mzito umefanyika kwenye klabu kama Chelsea, Liverpool, Newcastle na Manchester City zikionesha nia ya kuimarisha vikosi vyao ili waweze kuwa na nafasi nzuri za ubingwa msimu wa 2023/24.
Fuatilia msimamo wa ligi kuu Uingereza upate maarifa yatakayo kuongoza kubetia mechi za ushindi leo.
Msimamo Wa Ligi Kuu England
Tazama msimamo wa ligi kuu England msimu huu 2023/24 kama mechi zinavyozidi kupamba moto; Kwa taarifa zote kuhusu msimamo wa ligi kuu Uingereza (EPL) kwenye msimu huu 2023/2024 utazipata Meridianbet - Jukwaa la mabingwa lenye odds kubwa kuliko. Sasa unaweza kubeti live na kubeti kawaida mtandaoni kwa kutumia app ya Meridianbet.
Wafungaji Ligi Kuu England
Ligi kuu Uingereza ni moja ya ligi inayotazamwa zaidi na wapenzi wa soka duniani kote, hii inatokana na ushindani mkubwa unachochewa na wachezaji mahiri kutoka timu/klabu mbalimbali. Kuanzia kuanzishwa kwa Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kumekuwa na wachezaji ambao wameonyesha ujuzi wa hali ya juu dimbani huku wakifunga magoli ambayo aidha hatutoweza kuyasahau au wakifunga idadi kubwa kuliko ya magoli.
Wafungaji Bora 9 Kwenye Historia Ya Ligi Kuu EPL
Hawa ndio wafungaji bora 9 kwenye historia ya ligi kuu ya Uingereza(EPL) kuanzia kuanzishwa kwake mwaka 1992;
- Alan Shearer mwenye magoli 260
- Harry Kane mwenye magoli 213
- Wayne rooney mwenye magoli 208
- Andrew Cole mwenye magoli 187
- Sergio Aguero mwenye magoli 184
- Frank Lampard mwenye magoli 177
- Thierry Henry mwenye magoli 175
- Robbie Fowler mwenye magoli 163
- Jermain Defoe mwenye magoli 162
Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza (EPL) 2023/24
Msimu huu wa 2023/24 Ligi Kuu ya EPL imekuwa na wachezaji mahiri wenye ujuzi wa kiufundi kwenye sakata la kushinda magoli kiubunifu na kushinda magoli mengi. Fuatilia wafungaji bora Uingereza msimu huu wa 2023/24 popote ulipo kwa kupakua application yetu ya Meridianbet vile vile usipitwe na fursa ya kubeti uibuke na pawa ya ushinde wa timu yako pendwa.
Meridianbet inakupatia fursa ya kubeti kwenye mpira wa miguu wa EPL ikiwemo taarifa sahihi kuhusu wafungaji bora wa ligi kuu EPL, vilevile Meridianbet inakuruhusu kubashiri mtandaoni ni mchezaji gani atafanikiwa kuchukua kiatu cha dhahabu msimu huu 2023/24 kwenye ligi kuu ya Uingereza. Meridianbet ndio tovuti namba moja (1) Tanzania lenye odds kubwa za Ushindi, nufaika leo hii na pawa ya kubeti.
Ratiba Ya Ligi Kuu Uingereza 2023/24
Ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2023-2024 umeanza kwa kishindo huku timu nyingi zikijitahidi kuonyesha ubora wake kwa msimu huu mpya. Msimu mmoja wa una idadi ya mechi 38, ambapo timu za ligi kuu ya Uingereza zitacheza mechi mbili na kila mshiriki wa ligi hiyo.
Tazama ratiba mechi kali za Ligi kuu EPL 2023/24 kwa urahisi na uhakika kwa kupitia tovuti yetu na application yetu. Ifuatayo ni ratiba ya mechi zenye ushindani wa hali ya juu EPL msimu huu wa 2023/2024;
No. | Tarehe | Mechi |
---|---|---|
1. | 24/Feb/2024 | Arsenal vs Newcastle Utd |
2. | 03/Machi/24 | Manchester City vs Manchester Utd |
3. | 10/Machi/24 | Liverpool vs Manchester City |
4. | 11/Machi/24 | Chelsea vs Newcastle Utd |
5. | 16/Machi/24 | Arsenal vs Chelsea |
6. | 17/Machi/24 | Everton vs Liverpool |
7. | 31/Machi/24 | Manchester City vs Arsenal |
8. | 03/April/24 | Chelsea vs Manchester Utd |
9. | 06/April/24 | Manchester Utd vs Liverpool |
10. | 20/April/24 | Tottenham vs Manchester City |
11. | 27/April/24 | Tottenham vs Arsenal |
12. | 04/Mei/24 | Liverpool vs Tottenham |
13. | 11/Mei/24 | Manchester Utd vs Arsenal |
Angalia ratiba ya ligi kuu Uingereza msimu huu 2023/24 ili usipitwe na mechi kali za EPL zenye odds kubwa, fuatilia ratiba ya ligi kuu EPL na kisha uanze kubeti mtandaoni Meridianbet - chimbo la odds kubwa na za uhakika.
Matokeo Ya Mechi Za EPL 2023/24
EPL ndio Ligi kuu ya Uingereza ikishirikisha timu 20 ambazo hucheza mechi za ligi kuu nchini humo kila wikiendi kuanzia Ijumaa mpaka Jumatatu. Meridianbet inakuletea Matokeo ya ligi kuu Uingereza moja-kwa-moja wakati mechi inaendelea na baada ya mechi kuchezwa na kuisha.
Wewe kama mshabiki wa soka na mdau wa ligi kuu ya Uingereza(EPL), utayapata matokeo ya EPL kupitia ukurasa wa matokeo ndani ya Meridianbet.
Weka beti yako kwa urahisi mtandaoni, na ufurahie pawa ya ushindi mkubwa kutokana na odds kubwa zinazopatikana Meridianbet pekee - odds kubwa, ushindi mnono!!
Aidha pia unaweza kubetia michezo mingine kama mpira wa kikapu, tennis, mbio za farasi na michezo ya ngumi popote utakapo kuwepo kwa kupitia application ya Meridianbet.