Mechi za Ligi kuu Uingereza 2024-2025 | Odds za EPL
Ligi Kuu Uingereza 2024/2025
Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)
Ligi kuu ya Uingereza (EPL) ndio ligi ya daraja la kwanza la soka nchini Uingereza. Ligi hii ilianzishwa rasmi mwaka 1992 ikiwa inahusisha klabu 22. Klabu hizo 22 ziliozanza msimu wa 1992/93 ni Arsenal, Aston Villa, Blackburn Rovers, Chelsea, Coventry City, Crystal Palace, Everton, Ipswich Town, Leeds United, Liverpool, Manchester City, Manchester United, Middlesbrough, Norwich City, Nottingham Forest, Oldaham Athletic, Queens Park Rangers, Sheffield United, Sheffield Wednesday, Southampton, Tottenham Hotspur, na Wimbledon. Kati ya hizi klabu 22, ni klabu 6 tu ambazo zimeendelea kuwepo bila kushuka daraja kila msimu mpaka hivi sasa ambazo ni:
Washindi wa Ligi Kuu ya Uingereza Kutokea Ianzishwe
Kutokea kuanzishwa kwa ligi kuu ya Uingereza (EPL), ni zaidi ya misimu 30 imepita na timu 7 tu ndio zimewahi kushinda ubingwa kwenye ligi kuu ya Uingereza. Ifuatayo ndio orodha ya timu hizo za Uingereza zilizoongoza kuchukua ubingwa wa ligi kuu Uingereza (EPL) mara nyingi zaidi:
- Manchester United imeshinda ubingwa wa EPL mara 13
- Manchester City imeshinda ubingwa wa EPL mara 8
- Chelsea imeshinda ubingwa wa EPL mara 5
- Arsenal imeshinda ubingwa wa EPL mara 3
- Blackburn Rovers imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
- Leicester City imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
- Liverpool imeshinda ubingwa wa EPL mara 1
Jumla ya klabu (timu) 50 zimewahi kushiriki kwenye ligi kuu ya Uingereza, huku Brighton & Hove Albion na Huddersfield zilishiriki kwa mara ya kwanza kwenye msimu wa mwaka 2017/18.
Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza (EPL) 2024/25
Msimamo wa ligi kuu Uingereza (EPL) 2024/25 umefikia katikati kwenye utamu haswa, na timu za EPL kujinoa kwenye kinyan'ganyiro cha ubingwa wa msimu huu. Tumeona usajili mzito umefanyika kwenye klabu kama Chelsea, Liverpool, Newcastle na Manchester City zikionesha nia ya kuimarisha vikosi vyao ili waweze kuwa na nafasi nzuri za ubingwa msimu wa 2024/25.
Fuatilia msimamo wa ligi kuu ya Uingereza upate maarifa yatakayo kuongoza kubeti kwa kujiamini kwenye mechi kali za EPL.
Msimamo Wa Ligi Kuu England
Tazama msimamo wa ligi kuu England msimu huu 24-25 kadri mechi zinavyozidi kunoga; Taarifa zote kuhusu msimamo wa ligi kuu England utazipata Meridianbet - tovuti bora ya kubeti mtandaoni yenye odds kubwa Tanzania.
Wafungaji Ligi Kuu England
Ligi kuu England ni moja ya ligi inayotazamwa zaidi na wapenzi wa soka duniani kote, hii inatokana na ushindani mkubwa unachochewa na wachezaji mahiri kutoka timu/klabu mbalimbali. Kuanzia kuanzishwa kwa Ligi kuu England, kumekuwa na wachezaji ambao wameonyesha ujuzi wa hali ya juu dimbani huku wakifunga magoli ambayo aidha hatutoweza kuyasahau au wakifunga idadi kubwa kuliko ya magoli.
Wafungaji 9 (Tisa) Bora kwenye Historia ya Ligi Kuu Uingereza
Hawa ndio wafungaji 9 (tisa) bora kwenye historia ya ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kuanzishwa kwake mwaka 1992:
- Alan Shearer mwenye magoli 260
- Harry Kane mwenye magoli 213
- Wayne Rooney mwenye magoli 208
- Andrew Cole mwenye magoli 187
- Sergio Aguero mwenye magoli 184
- Mohamed Salah mwenye magoli 180
- Frank Lampard mwenye magoli 177
- Thierry Henry mwenye magoli 175
- Robbie Fowler mwenye magoli 163
Wafungaji Bora Ligi Kuu Uingereza 2024-2025
Msimu huu wa 2024-2025, ligi Kuu ya Uingereza imekuwa na wachezaji mahiri wenye ujuzi wa kiufundi kwenye sakata la kushinda magoli kiubunifu na kushinda magoli mengi. Fuatilia wafungaji bora ligi kuu Uingereza 24-25 popote ulipo kwa kupakua application bora ya kubeti mtandaoni.
Meridianbet inakupa fursa ya kubeti kwenye mechi kali za EPL ikiambatana na taarifa sahihi kuhusu wafungaji bora wa EPL, vilevile kampuni hii bora ya kubeti inakuruhusu kubashiri mtandaoni ni mchezaji gani atafanikiwa kuchukua kiatu cha dhahabu ligi kuu Uingereza 2024-2025.
Ratiba ya Ligi Kuu Uingereza 2024/2025
Ligi kuu ya Uingereza 2024/2025 imeanza kwa kishindo huku timu nyingi zikijitahidi kuonyesha ubora kwenye msimu huu. Msimu mmoja EPL una idadi ya mechi 38, ambapo timu 20 (ishirini) za ligi kuu Uingereza zitacheza mechi mbili na kila mshiriki wa ligi hiyo.
Tazama ratiba ya mechi kali za EPL 2024/25 kwa urahisi kwa kupitia ukurasa wa ratiba za michezo. Ifuatayo ni ratiba ya mechi kali za EPL msimu huu wa 2024/2025:
No. | Tarehe | Mechi |
---|---|---|
1. | 19/Feb/2025 | Aston Villa vs Liverpool |
2. | 22/Feb/2025 | Everton vs Manchester Utd |
3. | 23/Feb/2025 | Manchester City vs Liverpool |
4. | 26/Feb/2025 | Nottingham Forest vs Arsenal |
5. | 26/Feb/2025 | Tottenham vs Manchester City |
6. | 26/Feb/2025 | Liverpool vs Newcastle |
7. | 08/Machi/2025 | Nottingham Forest vs Manchester City |
8. | 09/Machi/2025 | Manchester Utd vs Arsenal |
9. | 16/Machi/2025 | Arsenal vs Chelsea |
10. | 02/April/2025 | Chelsea vs Tottenham |
11. | 02/April/2025 | Liverpool vs Everton |
12. | 05/April/2025 | Manchester Utd vs Manchester City |
13. | 10/Mei/2025 | Liverpool vs Arsenal |
Fuatilia ratiba ya ligi kuu Uingereza 2024/2025 ili usipitwe na mechi kali za kubeti EPL zenye odds kubwa.
Matokeo ya Mechi za EPL 2024/25
EPL ndio Ligi kuu ya Uingereza ikishirikisha timu 20 ambazo hucheza mechi za ligi kuu nchini humo kila wikiendi kuanzia Ijumaa mpaka Jumatatu. Meridianbet inakuletea matokeo ya ligi kuu Uingereza moja-kwa-moja (live) wakati mechi inaendelea na baada ya mechi kuisha.
Wewe kama mshabiki wa soka la ligi kuu Uingereza, utayapata matokeo ya EPL 24-25 kupitia ukurasa wa matokeo na takwimu. Beti kirahisi, ufurahie ushindi mkubwa mtandaoni.
Aidha pia unaweza kubeti michezo mingine kama mpira wa kikapu, tennis, mbio za farasi na michezo ya ngumi popote utakapo kuwepo kwa kupitia application hii namba moja ya kubashiri.