UEFA 2024/2025 | Mechi Za Kubeti Ligi kuu Ulaya

Mpangilio wa jumla:

Wakati na Tarehe
Ligi

Wakati

Saa 1
Masaa 3
siku 1
siku 3
Zote
Mpira wa Miguu
Matokeo ya mwisho
1
X
2
Chini ya
O/U
Zaidi
Wote wa Timu ya alama
GG
GG&3+
GG&4+
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
0417
16:45
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
AC Milan
Club Brugge
1.49
4.21
5.88
2.20
2.50
1.68
1.83
2.21
3.20
2899
16:45
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
AS Monaco
FK Crvena Zvezda Belgrade
1.35
5.09
7.84
1.57
3.50
2.41
1.87
2.19
3.05
1090
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Girona FC
SK Slovan Bratislava
1.18
7.25
13.72
1.80
3.50
2.03
2.03
2.28
3.05
2688
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Arsenal FC
FC Shakhtar Donetsk
1.09
10.78
23.52
2.03
3.50
1.80
2.29
2.49
3.20
2692
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Real Madrid
Borussia Dortmund
1.47
4.70
5.48
1.80
3.50
2.02
1.56
1.76
2.35
2693
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Aston Villa
Bologna FC
1.51
4.21
5.68
2.12
2.50
1.73
1.86
2.27
3.35
2745
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Juventus Turin
VfB Stuttgart
1.73
3.57
4.41
2.02
2.50
1.80
1.77
2.23
3.40
2750
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
SK Sturm Graz
Sporting Lisbon
7.44
5.09
1.36
1.59
3.50
2.38
1.83
2.14
3.00
2785
19:00
22.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Paris Saint-Germain
PSV Eindhoven
1.51
4.41
5.29
1.66
3.50
2.23
1.62
1.89
2.61
2802
16:45
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Atalanta BC
Celtic Glasgow
1.42
4.90
6.46
1.62
3.50
2.30
1.73
2.01
2.80
2858
16:45
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Stade Brest 29
Bayer Leverkusen
5.68
4.31
1.50
2.34
2.50
1.61
1.74
2.07
2.98
2982
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
RB Leipzig
Liverpool FC
3.77
3.72
1.84
1.66
3.50
2.24
1.51
1.78
2.49
1433
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Atletico Madrid
Lille OSC
1.48
4.21
6.07
1.91
2.50
1.89
2.06
2.60
4.00
3025
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
SL Benfica
Feyenoord Rotterdam
1.56
4.11
5.09
2.31
2.50
1.62
1.71
2.05
2.96
3049
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
FC Salzburg
Gnk Dinamo Zagreb
1.64
3.92
4.70
2.23
2.50
1.66
1.70
2.06
3.00
3090
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Young Boys Bern
Inter Milano
7.64
4.80
1.37
2.40
2.50
1.58
1.84
2.18
3.05
1339
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
FC Barcelona
Bayern Munich
2.45
3.72
2.50
1.82
3.50
2.00
1.39
1.59
2.14
3911
19:00
23.10.
Ulaya - Ligi Mabingwa wa UEFA
Manchester City
Sparta Prague
1.05
12.74
34.3
2.01
3.50
1.81
2.80
3.05
4.00

UEFA | Ligi ya Mabingwa Ulaya | Mechi Za Leo

UEFA ndio Ligi ya mabingwa Ulaya, pambano ambalo huchezwa mara moja kwa mwaka au msimu mmoja. Mashindano haya hupangwa na shirikisho la umoja la mpira barani Ulaya (UEFA) na timu za mpira ambazo huchuana kwenye Ligi hiyo ya Mabingwa ni timu bora zinazoongoza ligi ya daraja la kwanza kutoka mataifa mbalimbali barani Ulaya. Ligi ya Mabingwa Ulaya huchezwa kwa mfumo wa mtoano mechi moja ikichezwa nyumbani na mechi nyingine ikichezwa ugenini. Ni moja ya mashindano ya michezo yenye thamani kubwa barani Ulaya.
UEFA ilianzishwa mwaka 1955 kama kombe la klabu bingwa za Ulaya na baadae kujulikana kama kombe la Ulaya. Mwanzoni mashindano hayo yalikua yanacheza mechi moja tu ya mtoano. Ligi hii ilipewa jina la UEFA mnamo mwaka 1992 na pia ilianza kuruhusu timu kutoka ligi mbalimbali Ulaya.
Odds za soka zenye ushindi mnono hupatikana kwenye mechi za Ligi Ya Mabingwa Ulaya, kama mshabiki na mdau wa soka, tumia Meridianbet kubashiri mtandaoni popote ulipo na ujishinidie vikubwa kutoka odds kubwa pekee Tanzania nzima.


Mabingwa Wa UEFA

Klabu za mpira kutoka nchini Hispania(Spain) ndio wanaoongoza kuchukua Ubingwa wa UEFA mara nyingi ambapo vilabu hivyo vya Spain vimeshinda ubingwa wa huo mara (19) kumi na tisa ikifuatiwa na klabu za mpira za Uingereza/EPL zikishinda Ubingwa huu mara (15) kumi na tano. Uingereza ndio inaoongoza kwa timu/klabu nyingi kushinda ubingwa wa UEFA. Shindano la UEFA limenyakuliwa na timu 23, ambapo timu kumi na tatu (13) zimeshinda ubingwa wa UEFA zaidi ya mara moja na timu nane (8) zimefanikiwa kutetea ubingwa huo.
Real Madrid ndio timu inayoongoza kwa kushinda mashindano hayo ya Ligi ya MABINGWA Ulaya, ikiwa imeshinda ubingwa huo wa mara kumi na tano (15), ikiwemo misimu mitano (5) ya kwanza. Huku Man City ndio mabingwa wa UEFA  wakimfunga Inter Milan 1-0 kushinda UEFA msimu wa 2022/23.


Historia ya UEFA

Ligi Ya Mabingwa Ulaya au maaraufu kama UEFA, ilianzishwa mwaka 1954 nchini Uswizi na Ligi hiyo ilijipatia umaarafu wa Jina hilo la UEFA mwaka 1992. Kutokea kuanzishwa kwa ligi hio ya soka kumetokea vipaji mahiri mithili ya Lionel Messi, Cristiano Ronaldo, Zinedine Zidane, Didier Drogba, Samuel Eto’o na wengine kibao. Uwepo wa wachezaji mahiri na timu za soka imara umepelekea ligi hiyo ya Mabingwa Ulaya kutazamwa na kuwa na mashabiki wengi wa mpira wa soka. Mashabiki hawa kufaidika na Ligi ya Mabingwa kwa kubashiri mubashara na kubashiri mtandaoni kupitia Meridianbet.


Klabu Zilizochukua UEFA

Ligi Ya Mabingwa Ulaya-UEFA, imekua moja ya ligi za mpira inayofuatiliwa sana kutokea kuanzishwa kwake huku wigo wa ligi hiyo ya mabingwa ikiendelea kutazamwa na kufuatiliwa zaidi. Kutokea kuanzishwa kwa UEFA ni timu nyingi tofauti zilizowahi kushinda Ubingwa huo, lakini hizi ni klabu tisa za mpira zinazoongoza kushinda ubingwa wa UEFA;

  • Real Madrid imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara kumi na nne (15)
  • AC Milan imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara saba (7)
  • Bayern Munich imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara sita (6)
  • Liverpool imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara sita (6)
  • Barcelona imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara tano (5)
  • Ajax imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara nne (4)
  • Manchester United imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara tatu (3)
  • Inter Milan imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara tatu (3)
  • Chelsea imeshinda Ubingwa Wa UEFA mara mbili (2)


Meridianbet kupitia kurasa yake ya takwimu za michezo inakupa orodha kamili ya klabu zote zilizoshinda Ligi ya Mabingwa Ulaya, Vilevile Meridianbet inakupa fursa ya kubashiri mtandaoni kwenye mechi za leo pamoja na mechi zijazo za UEFA. Mechi zote Ligi ya Mabingwa huwa zimeambatana na odds kubwa zitakazokupatia ushindi mnono.


Ligi Ya Mabingwa Ulaya 2024/25

Ligi Ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2024/25 umepamba moto huku timu shiriki zote zikiwa zimeshamaliza hatua ya makundi na mechi za UEFA zifuatazo ni mechi za mtoano. Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2024/25 unaadhimisha msimu wa 69 stini na tisa kutokea kuanzishwa kwake na msimu huu wa umeanza tarehe 17 Septemba 2024 na unatarajia kufikia mwisho tarehe 31 Mei 2025.


Ligi Ya Mabingwa UEFA msimu huu wa 24/25 unafuata mtiririko wa Ligi badala ya makundi kama ilivyokuwa misimu iliyopita.


Ratiba Ya UEFA 2024-2025

Ligi ya mabingwa Ulaya(UEFA) msimu wa huu na mechi kali za kubeti ni kama ifuatavyo;

  1. AC Milan vs Liverpool itachezwa tarehe 17/Septemba/2024
  2. Manchester City vs Inter milan itachezwa tarehe 18/Septemba/2024
  3. Bayer Leverkusen vs AC Milan itachezwa tarehe 01/Oktoba/2024
  4. Arsenal vs PSG itachezwa tarehe 01/Oktoba/2024
  5. Barcelona vs Bayern Munich itachezwa tarehe 23/Oktoba/2024
  6. Real Madrid vs AC Milan itachezwa tarehe 05/Novemba/2024
  7. Liverpool vs Bayer Leverkusen itachezwa tarehe 05/Novemba/2024
  8. Inter Milan vs Arsenal itachezwa tarehe 06/Novemba/2024

Fuatilia ratiba kamili ya mechi za UEFA usipitwe tena na odds za soka, iwe hatua ya makundi, raundi ya kumi na sita (16), mechi za robo fainali, mechi za nusu fainali, mechi ya fainali ya UEFA 2024/25 kupitia Meridianbet App au tovuti ya Meridianbet.


Wachezaji Bora UEFA

UEFA imekua miongoni mwa ligi nyingi ambazo zimefanikiwa kutengeneza majina na vipaji hodari vya wachezaji mpira. Ikiwemo wachezaji kama;

  1. Cristiano Ronaldo
  2. Lionel Messi
  3. Iker Casillas
  4. Xavi Hernandez
  5. Ryan Giggs
  6. Karim Benzema
  7. Raul Gonzalez
  8. Thomas Muller
  9. Paolo Maldini
  10. Sergio Ramos
  11. Tony Kroos

Aidha ubora wa wachezaji hutokana na jithada zao uwanjani wakati wakicheza mpira, iwe kwa umahiri wa ufungaji na utuoaji wa pasi za mwisho. Ifuatayo ni Orodha ya wafungaji bora kwenye Ligi Ya Mabingwa Ulaya-UEFA;
  • C. Ronaldo mwenye magoli 141
  • Messi mwenye magoli 129
  • Lewandowski mwenye magoli 91
  • Benzema mwenye magoli 86
  • Raul Gonzalez mwenye magoli 71
  • Van Nistelrooy mwenye magoli 60
  • Shevchenko mwenye magoli 59
  • Thomas Muller mwenye magoli 53
  • Thierry Henry mwenye magoli 51
  • Inzaghi mwenye magoli 50

Fuatilia kwa ukaribu na upate orodha kamili ya wafungaji bora kwenye Ligi Ya Mabingwa Ulaya kupitia Meridianbet App na tovuti ya Meridianbet.
Vilevile ifuatayo ni orodha ya wachezaji wanaoongoza kwa kugawa au kutoa pasi za mwisho (assists) kwenye michuano ya UEFA.
  • C.Ronaldo mwenye assists 42
  • L. Messi mwenye assists 40
  • Di Maria mwenye assists 38
  • Neymar mwenye assists 33
  • Ryan Giggs mwenye assists 31
  • Xavi Hernandez mwenye assists 30
  • Iniesta mwenye assists 29
  • Benzema mwenye assists 28
  • Thomas Muller mwenye assists 28
  • Cesc Fabregas mwenye assists 26

Meridianbet sasa inakuwezesha kuangalia/kufuatilia takwimu kamili za michezo mbalimbali ikiwemo soka, mpira wa kikapu, n.k.


Wafungaji Bora UEFA 2024/2025

Tazama orodha ya wafunagji bora 7 msimu huu;

  • Kylian Mbappe wa PSG akiwa na magoli 6
  • Antoine Griezmann wa Atletico Madrid akiwa na magoli 6
  • Harry Kane wa Bayern Munich akiwa na magoli 6
  • Eerling Haaland wa Man City akiwa na magoli 6
  • Galeno wa FC Porto akiwa na magoli 5
  • Alvarez wa Man City akiwa na magoli 5
  • Hojlund wa Man Utd akiwa na magoli 5


Matokeo Ya UEFA 2024/2025

Kama mshabiki wa soka na mdau wa kubeti basi ni dhahiri kuwa utapenda kufuatilia matokeo ya mechi za UEFA 2024/25 pindi mechi hizi zinapochezwa tu. Tovuti ya Meridianbet pamoja na Meridianbet app zinakuletea matokeo moja-kwa-moja (live) huku mechi zote za UEFA zikiendelea kukufanya mdau wa soka usipitwe na burudani kabambe kutoka Ligi ya Mabingwa Ulaya -UEFA.


Kwa ujumla sasa mashabiki wa soka , wadau wa kubeti mubashara, wadau wa kubeti mtandaoni wanaweza kubashiri kwenye mechi zote za UEFA zilizoambatana na odds kubwa zenye ushindi mnono. Fuatilia ratiba ya mechi za leo UEFA, andaa mkeka wako baada ya kufanya tafiti kwenye kurasa ya takwimu na kisha weka beti yako mtandaoni kabla mechi haijaanza au unaweza kubeti mubashara huku mechi za UEFA zikiwa zinaendelea live, beti mtandaoni na Meridianbet ujishindie vikubwa na odds za soka za kibingwa.

general.scroll_to_top