Europa - Ligi Ndogo UEFA | Odds Kubwa Mechi Za Leo

UEFA Europa League - Winner
Tottenham Hotspur
5.45
Manchester United
5.85
Athletic Bilbao
6.45
Real Sociedad San Sebastian
9.05
Lazio Rome
9.10
AS Roma
13.6
Eintracht Frankfurt
16.4
FC Porto
18.9
Olympique Lyon
18.9
Galatasaray Istanbul
19.2
Ajax Amsterdam
21
Fenerbahce Istanbul
22.2
Olympiacos Piraeus
25.4
RSC Anderlecht
41
TSG Hoffenheim
66
Glasgow Rangers
67
Besiktas Istanbul
78
Slavia Prague
94
SC Braga
100
FC Midtjylland
105
OGC Nice
125
AZ Alkmaar
130
Bodoe/Glimt
135
Fotbal Club FCSB
150
Union Saint-Gilloise
160
FC Twente Enschede
170
PAOK Thessaloniki
220
Maccabi Tel Aviv FC
250
IF Elfsborg
260
FC Viktoria Plzen
270
Ferencvarosi Budapest
300
Malmo FF
500
PFC Ludogorets 1945 Razgrad
500
Qarabag FK
900
FK Rigas Futbola Skola
1000
UEFA Europa League 2024/25 - League Stage - Winner
Athletic Bilbao
1.72
Lazio Rome
2.20
Olympique Lyon
10.9
Rsc Anderlecht
16.9
Eintracht Frankfurt
25.8
Manchester United
25.8
Galatasaray Istanbul
67
Tottenham Hotspur
100
Ajax Amsterdam
500
Glasgow Rangers
500
Fotbal Club Fcsb
500
Real Sociedad San Sebastian
500
UEFA Europa League 2024/25 - To Reach the Final
Tottenham Hotspur
3.00
Manchester United
3.75
Athletic Bilbao
4.00
Real Sociedad San Sebastian
5.00
Lazio Rome
6.00
Olympique Lyon
8.00
As Roma
9.00
Fc Porto
9.00
Galatasaray Istanbul
9.00
Eintracht Frankfurt
9.00
Ajax Amsterdam
10
Fenerbahce Istanbul
13
Olympiacos Piraeus
13
Besiktas Istanbul
26.1
Rsc Anderlecht
26.1
Ogc Nice
26.1
Tsg Hoffenheim
26.1
Slavia Prague
41
Fc Midtjylland
41
Sc Braga
41
Az Alkmaar
46
Glasgow Rangers
51
Fotbal Club Fcsb
67
Fc Twente Enschede
67
Bodoe/glimt
67
Paok Thessaloniki
100
Fc Viktoria Plzen
125
Union Saint-gilloise
125
Ferencvarosi Budapest
150
Pfc Ludogorets 1945 Razgrad
150
If Elfsborg
250
Malmo Ff
250
Maccabi Tel Aviv Fc
500
Qarabag Fk
500
Fk Rigas Futbola Skola
500
UEFA Europa League 2024/25 - League Stage - Top 8
Olympique Lyon
1.16
Manchester United
1.16
Rsc Anderlecht
1.25
Eintracht Frankfurt
1.33
Tottenham Hotspur
1.33
Galatasaray Istanbul
1.50
Ajax Amsterdam
2.20
Real Sociedad San Sebastian
3.40
As Roma
4.00
Glasgow Rangers
4.50
Olympiacos Piraeus
7.00
Fotbal Club Fcsb
9.00
Fc Porto
11
Bodoe/glimt
11
Ferencvarosi Budapest
21
Fc Viktoria Plzen
21
Az Alkmaar
26
Union Saint-gilloise
51
Fenerbahce Istanbul
100
Paok Thessaloniki
200

Europa - Ligi Ndogo UEFA | Odds Kubwa Mechi Za Leo

Europa ni ligi ndogo ya UEFA ambayo ilianzishwa mwaka 1971 na UEFA. Europa ni ligi ndogo au ligi ya daraja la pili kwenye mashindano ya soka Ulaya, Europa ndio ligi inayofuata baada ya ligi ya Mabingwa Ulaya(UEFA) ikifuatiwa na UEFA Conference League.
Mshindi wa ligi ndogo ya UEFA(Europa) atajipatia nafasi ya kushiriki michuano ya UEFA Super Cup na atafuzu kwenye michuano ya msimu unaofuata wa Ligi ya Mabingwa Ulaya(UEFA) moja kwa moja.
Jipatie odds za soka zenye ushindi mkubwa kwenye mechi za leo Europa, furahia burudani ya ligi ya Europa2022/23 kwa kubeti mtandaoni na Meridianbet App au tovuti ya Meridianbet na upate na nafasi ya kutengeneza hela mtandaoni na odds kubwa zenye ushindi mnono.


Historia Ya Europa | Ligi Ndogo UEFA

Mshindi wa Ligi ya UEFA-Europa kwa miaka ishirini na tano (25) kutokea kuanzishwa kwake msimu wa mwaka 1971/72 mpaka msimu wa mwaka 1996/97 alikua anapatikana kwa kucheza fainali mara mbili, mechi moja inachezwa nyumbani na nyingine inachezwa ugenini.
Baada ya msimu wa 1997/98 mfumo wa kucheza fainali ukabadilika na kufata mfumo wa kucheza mechi ya fainali ya Europa mara moja tu, na sio mara mbili kama hapo awali.


Mabingwa Wa Ligi Ya Europa(UEFA)

Ligi ya Europa imeshatoa mabingwa zaidi ya hamsini(50) kutokea kuanzishwa kwa michuano hiyo barani Ulaya. Timu za mpira wa miguu kutokea nchini Spain ndio zinaongoza kushinda Ubingwa wa Europa kwa mara kumi na tatu (13), huku Sevilla ikiongoza kushinda taji la Bingwa kwa mara sita (6). Real Madrid na Sevilla ndio timu pekee ambazo zimewahi kutetea mataji ya Ubingwa wa Europa mfululizo, Real Madrid wakiwa mabingwa mwaka 1985 na mwaka 1986 mfululizo huku Sevilla ikifanya hivyo mwaka 2006,2007 na mwaka 2014 mpaka 2016.


Timu za mpira wa miguu Benfica na Marseille ndio klabu za soka zinazo ongoza kwa kushindwa fainali za Ligi Ya Europa, timu zote zikikosa ubingwa huo kwa idadi ya mara tatu kwa kila timu. Mabingwa watetezi wa kombe la Europa ni Eintracht Frankfurt ambayo iliwafunga Rangers 5-4 kwa penati msimu wa 2021/22 uliopita.


Meridianbet ndio mahala pekee yenye takwimu kamili na za uhakika kuhusu Europa - Ligi ndogo ya UEFA, Odds za soka zenye ushindi mnono na machaguo mengi kama vile kubashiri mtandaoni, kubashiri mubashara huku mechi zikiendelea live.


Klabu Zilizoshinda Europa

Angalia orodha ya klabu za soka zilizo shinda ubingwa wa Ligi ya Europa kwa idadi kubwa zaidi, zifuatazo ni timu za mpira kumi na moja (11) zilizo shinda ubingwa mara nyingi zaidi.

  1. Sevilla imeshinda ubingwa wa Europa mara sita(6).
  2. Liverpool imeshinda ubingwa wa Europa mara tatu(3).
  3. Juventus imeshinda ubingwa wa Europa mara tatu(3).
  4. Inter Milan imeshinda ubingwa wa Europa mara tatu(3).
  5. Atletico Madrid imeshinda ubingwa wa Europa mara tatu(3).
  6. Parma Calcio imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).
  7. Chelsea imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).
  8. Monchengladbach imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).
  9. Feyenoord imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).
  10. Frankfurt imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).
  11. Real Madrid imeshinda ubingwa wa Europa mara mbili(2).

Pata orodha kamili ya washindi wote wa Europa kupitia kurasa ya takwimu-Meridianbet. Meridianbet inakupa odds za soka kubwa kwa kila mechi itakayochezwa kwenye ligi ya Europa. Anza kubeti mubashara kwenye mechi za leo kwenye ligi ya Europa na upate ushindi mkubwa kutokana na odds kubwa kwa kila mechi.


Wafungaji Europa

Ligi ya Europa kama ligi nyingine haikosi wafungaji bora na mahiri, kutokea kuanzishwa kwa ligi ya Europa wafuatao ndio wafungaji kumi(10) bora;

  • Larsson mwenye magoli arobaini(40).
  • Huntelaar mwenye magoli thelathini na nne(34).
  • Morelos mwenye magoli thelathini na mbili(32).
  • Aritz Aduriz mwenye magoli thelathini na moja(31).
  • Falcao mwenye magoli thelathini na moja (31).
  • D.Muller mwenye magoli ishirini na tisa(29).
  • Vagner Love mwenye magoli ishirini na saba(27).
  • Aubameyang mwenye magoli ishirini na saba(27).
  • S.Arveladze mwenye magoli ishirini na saba(27).
  • Dabbur mwenye magoli ishirini na sita(26).

Pata orodha kamili ya wafungaji Europa kwenye tovuti ya Meridianbet au Meridianbet App. Meridianbet jukwaa la machaguo mengi zenye odds kubwa kwenye mechi za leo.


Wafungaji Bora Ligi Ya Europa 2022/23

Ligi ya Europa msimu huu wa 2022/2023 umekuwa ni burudani tosha kwa mashabiki wa soka pamoja na wadau wa kubeti. Tazama orodha ifuatayo ya wafungaji saba(7) bora Euopa 2022/23:

  1. Gimenez wa Feyenoord ana magoli manne(4).
  2. Vitinha wa Braga ana magoli manne(4).
  3. Kanga wa Crvena Zvezda ana magoli matatu(3).
  4. Pellegrini wa Roma ana magoli matatu(3).
  5. Batshuayi wa Fenerbache ana magoli matatu(3).
  6. Ben Yedder wa Monaco ana magoli matatu(3).
  7. Rashford wa Manchester United ana magoli matatu(3).

Msimu wa Europa 2022/23 ukiwa unaendelea wafungaji bora watazidi kuonyesha uwezo wao wa ufungaji kwenye Ligi hiyo ndogo ya UEFA, unaweza kufuatilia kwa ukaribu wafungaji bora wa Europa 2022/23 kwa kupitia Meridianbet wakati wowote mahali popote ili usipitwe na burudani ya kipekee na ushindi mkubwa upatikanao kwa odds za soka kubwa zilizoambatanishwa kwenye machaguo mengi kwenye ligi ya Europa ikiwemo kubashiri ni mchezaji gani ataibuka mfungaji bora wa Europa msimu huu wa 2022/2023.


Msimamo Wa Ligi Ya Europa 2022/23

Msimamo wa Ligi ya Europa msimu huu wa 2022/23 umekua ni burudani tosha kwa wapenzi wa soka pamoja na wadau wa kubeti duniani kote. Msimamo wa michuano hiyo ya Europa imeanza kwenye hatua ya makundi na kufuatiwa na hatua ya mtoano mpaka kufikia kumi na sita (16) bora na baadaye kufuatiwa na robo fainali, nusu fainali na mwisho ni fainali ya Europa msimu huu.


Kupitia Meridianbet pekee utaweza kufuatilia msimamo mzima wa Europa 2022/23 na kisha taarifa hiyo itakuongoza ni jinsi gani shabiki wa soka utaweza kushiriki kwenye kubashiri matokeo ya mechi za leo Europa kwa kubeti mtandaoni. Odds kubwa kwa kila mechi ya Europa 2022/23 kila utakapoamua kubeti mubashara na Meridianbet.


Makundi Ya Europa 2022/23

Ligi ya Europa inafuata mfumo wa kuanza na makundi, hatua ya mtoano kufikia 16 bora, robo fainali, nusu fainali na hatimaye fainali ya Europa. Tazama Makundi ya Ligi ya Europa msimu huu wa 2022/23;

  • Kundi A: Arsenal, PSV Bodo/Glimt.
  • Kundi B: Fenerbache, Rennes AEK Larnaca, Dynamo Kyiv.
  • Kundi C: Real Betis, Roma, Ludogorets, HJK.
  • Kundi D: Union Saint-Gilloise, Union Berlin, Braga, Malmo.
  • Kundi E: Real Sociedad, Man United, Sheriff, Omonoia.
  • Kundi F: Feyenoord, Midtjylland, Lazio, SK Strum Graz.
  • Kundi G: SC Freiburg, Nantes, Qarabag FK, Olympiacos.
  • Kundi H: Ferencvaros, Monaco, Trabzonspor, Crvena Zvezda.


Ratiba Ya Europa 2022/23

Ratiba ya mechi za Ligi ya Europa msimu huu wa 2022/23 unapatikana kwa urahisi Meridianbet, na hizi ni mechi sita(6) zinazofuata kwenye Europa-Ligi ndogo UEFA:

  • Barcelona v/s Man Utd
  • Shakhtar Donetsk v/s Rennes
  • Ajax v/s Union Berlin
  • Salzburg v/s Roma
  • Juventus v/s Nantes
  • Sporting CP v/s Midtjylland

Pata ratiba kamili ya msimu mzima wa Europa 2022/23 hapa hapa Meridianbet ili usipitwe na mechi zenye odds za soka kabambe zenye ushindi mkubwa.


Matokeo Europa 2022/23

Pata matokeo ya mechi za leo Europa, na mechi zijazo za Europa kwenye jukwaa la washindi nambari moja Tanzania-Meridianbet. Meridianbet inakupa matokeo ya mechi za msimu mzima kwa usahihi na kwa wakati huku mchezo ukiendelea.


Europa-Ligi ndogo UEFA 2022/23 inazidi kunoga huku wachezaji mahiri wakionyesha uwezo wa mpira, fuatilia burudani nzima ya Europa hapa hapa Meridianbet, Bashiri sasa kwenye mechi za leo Europa na machaguo yetu mengi na kisha ufurahie ushindi mnono uliombatana na odds kubwa.

general.scroll_to_top