Michezo Mingine Ya Kasino

SPACEMAN
MAGIC WHEEL!
new
HIGH FLYER
CLOWN FEVER
new
MINES
ROCKETMAN
GEM MINER
AGE OF THE GODS: SPIN A WIN
ROLL TO LUCK
CHAOS CREW SCRATCH
MYSTERIES OF THE EAST
CRAZY HORSES
NEON SHAPES
EUROLEAGUE LEGENDS
INSTANT KENO
HIGH STRIKER
DUNGEON IMMORTAL EVIL
FOOTBALL MANAGER
SQUEAKY BLINDERS
SCRATCH MATCH
SLICE & DICE
MINE FIELD
BUN IN THE OVEN
WILD LAVA SCRATCH CARD
PENALTY SHOOT OUT
ROLL THE DICE
BOOK OF KENO
EVOJI
DICE
THIMBLES
COURIER SWEEPER
GOAL
HEADS & TAILS
WHEEL OF TIME
BOMB SQUAD
FOUR ACES
PLINKO
MORE OR LESS
THE INCREDIBLE BALLOON MACHINE
XMAS KENO CAT
MINES
RED QUEEN
HOT GEMS XTREME SCRATCH CARD
PACHIN GIRL
CROWN & ANCHOR
HI LO
MAFIA: SYNDICATE
MINI ROULETTE
Cash Scratch
BRUNO BINGO

Michezo Mingine Ya Kasino Mtandaoni

Michezo ya kasino mtandaoni inapatikana nchini Tanzania kupitia kasino namba moja (1) ya Meridianbet, na inatoa michezo mingi ya kusisimua kwa wachezaji wake. Kasino hii inajulikana kwa uzoefu wake wa kuwa na michezo mingi na ya kipekee yenye machaguo kama yote na inayopatikana kwa njia rahisi kupitia tovuti au application.


Kasino ya Meridianbet ndio sehemu pekee yenye michezo mingi ya kubashiri iwe michezo ya uwanjani au michezo ya kasino, Meridianbet ndio mahala pake. Wapenzi wa kubashiri nchini Tanzania wamekiri wakisema hapa ndio uwanja wa ushindi mkubwa.


Michezo Ya Kasino Yenye Uhakika Wa Ushindi(Odds Kubwa)

Cheza na ujishindie pesa nyingi mtandaoni kwa kuchagua michezo ifuatayo kwenye kasino ya Meridianbet, weka dau lako na utengeneze pesa sasa online.


Mchezo Wa Aviator

Aviator ni mchezo wa kusisimua unaochezwa kwenye kasino ya Meridianbet. Mchezo huu uliyoandaliwa na wataalamu wakutengeza michezo ya kasino duniani “Spribe”, unachukua mtazamo wa ndege ikipaa, na mchezo wa aviator unakupa nafasi ya kushinda pesa nyingi. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua kiwango cha juu na kusubiri kujua ni pesa kiasi gani unayoweza kushinda.


Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Aviator

Kama michezo mingine ya kasino ya Meridianbet, mchezo wa Aviator ni mchezo unaopendwa sana na mashabiki wa michezo ya kasino mtandaoni kwa sababu ni mchezo rahisi kucheza.


Unachohitaji ni kuweka dau lako na kisha unatakiwa kuchagua kiwango ambacho unataka kujishindia (ku-cashout) kabla ndege haijapaa na kuondoka (Kabla ndege haija-fly away), Ukifanikiwa ku-cashout kabla ndege haijapaa (kabla ndege haija-fly away) utakuwa umejishindia kiasi cha pesa ambayo itakua dau uliloweka ikizidishwa kwa kiwango ambacho ndege iliruka kabla ya haija fly away (Mfano: Uikweka dau la kiasi cha TZS 30,000/= na ukafanikiwa ku-cashout kwenye idadi/odds ya 8.5 utakua umejishindia kiasi cha TZS 255,000/= kiurahisi kabisa).


Aidha mchezo huu wa aviator unakupa njia mbalimbali za kucheza mchezo huo ili kujiongezea nafasi za ushindi kama vile;

  • Kuweka beti automatic- kwa kuchagua chaguo hili, mchezaji anaseti kiwango cha odds ambacho ndege ikiruka au ikifika absi moja kwa moja mchezo uta-cashout na kukupa ushindi. (Mfano; mchezaji anaweza akaseti kwamba kila ndege ya aviator inaporuka na kufikia odds ya 5.2 iweze kucash-out na kukupatia ushindi kulingana na kiasi cha dau uliloliweka)
  • Kuweka beti mara mbili kwa wakati mmoja- Kwa kuchagua chaguo hili, mchezaji wa aviator anaweza akaweka dau la beti yake kwenye nafasi mbili kwa wakati huo huo ili kumuongezea nafasi ya kushinda pesa nyingi mtandaoni.


Kama wewe ni mdau na pia mshabiki wa michezo ya kasino, sasa ni wakati wako wa kutengeneza pesa kirahisi kwa kucheza mchezo huu pendwa wa aviator hapa Meridianbet pekee.


Michezo ya Namba

Michezo mingine ya kasino inayopatikana kwenye Meridianbet ni michezo ya namba. Mfano wa Michezo ya namba ni kama vile “Keno Instant”, “Lucky X” na “Next 6”. Michezo hii ya namba ni rahisi sana kucheza na unaweza kushinda pesa nyingi kwa kuchagua namba sahihi.


Mchezo Wa Keno Instant

“Keno Instant” ni mchezo wa namba za bahati. Mchezo huu wa “Keno Instant” unajumuisha ubao wa kubashiri wenye namba 80 zilizogawanywa katika rangi 4 (namba 1-20 za njano, 21-40 za nyekundu, 41-60 za kijani, na 61-80 za blue). Mwanzoni mwa kila raundi ya mchezo, mchezaji anaweza kubashiri namba au kuweka beti za pembeni. Baada ya kuweka dau, namba 20 na odds (zenye thamani 0.5, 1, 2) huchezwa.


Jinsi Ya Kucheza Keno Instant

Mchezo huu wa “Keno Instant” unachezwa kwa njia zifuatazo;

  1. Weka kiasi cha beti yako.
  2. Chagua namba zako kumi za bahati.
  3. Pia unaweza kuweka beti za pembeni kama vile namba ya kwanza kutokea itakua shufwaa au witiri(even/odd), unaweza kuweka beti ya namba ya kwanza itakua ni ya rangi gani kati ya njano kijani, nyekundu au blue na machaguo mengine kibao na rahisi kuelewa jinsi ya kucheza.
  4. Kisha utabonyeza kitufe cha play kitakacho ruhusa mchezo kuanza na nambari 20 zitachaguliwa za ushindi na utakua umeshinda kulingana na idadi ya namba ulizochagua zikitokea kwenye hizo namba 20 za ushindi.


Mchezo Wa Lucky X

Lucky X ni mchezo wa kubashiri namba ambapo mchezaji anaweza kubashiri matokeo ya nambari zinazochezwa kwa kompyuta, kupitia aina tofauti za beti. Matokeo ya kila mchezo ni nambari ya kihesabu isiyoegemea upande wowote, na haziwezi kutabirika, ambayo hupatikana kwa kutumia jenereta ya namba kwa kompyuta.


Jinsi Ya Kucheza Mchezo Wa Next 6

Karibu kwenye mchezo wa Next Six! Zifuatazo ni sheria za kucheza, Cheza wakati wowote kwenye droo yenye namba 35 kutoka kwa namba 48.

  • Chagua hadi namba 3 kwa beti ya "Next Six" na hadi namba 2 kwa beti ya "Next ball"
  • Bashiri rangi ya mpira ufuatao au cheza na mipira yenye namba za juu/za chini.
  • Baada ya kuchagua beti, ingiza kiasi cha dau na bonyeza kitufe cha "Wasilisha".
  • Chaguo la kiotomatiki linakuwezesha kurudia beti yako kwa idadi ya mara uliyoichagua.
  • Weka beti kabla mpira ujao haujachezwa. Bahati njema!


Michezo ya Farasi

Meridianbet pia ina michezo ya farasi ambayo ni maarufu sana kwenye kasino. Michezo ya farasi ni rahisi kucheza, Mchezo wa farasi unaopendwa na washindi kwenye Meridianbet ni “Crazy Horses”.


Jinsi Ya Kucheza Crazy Horses

Kwenye mchezo huu wa Crazy Horses kuna farasi sita wenye odds mbalimbali (2, 3, 10, 18, 36, 70). Wachezaji wanauwezo wa kubeti kwenye farasi yeyote kati ya farasi sita waliopo. Lengo la mchezo au namna ya kushiriki na kushindi mchezo huu ni kubashiri ni farasi yupi kati ya farasi sita atavuka mstari wa kumaliza wa kwanza.


Punde tu Farasi amalizapo mzunguko wa mbio, mchezo raundi huo unakua umeisha na kisha mahesabu yanafanyika na farasi uliyemchagua atashinda kulingana na odds kubwa alizokua nazo.


Mchezo huu wa farasi (Crazy Horses) unasifa kubwa ambayo huvutia wachezaji wengi wanaotaka kutengeneza pesa mtandaoni.

  • Sifa ya kwanza ya mchezo wa farasi mtandaoni ni uhakika wa asilimia 97% ya ushindi kwa kila beti, hivyo hupelekea uhakika wa ushindi kwa wadau wa kubeti Tanzania.
  • Sifa ya pili ni mchezo wa farasi (Crazy Horses) unatoa ushindi wa mpaka TZS 15,000,000/= pesa taslimu kwa beti ndogo ya kuanzia TZS 300 tu.

Kujipatia pesa mtandaoni imekua rahisi sasa, unachotakiwa kufanya ni kujisajili kwenye kampuni bora ya kubeti yenye michezo mingi ya kasino - Meridianbet na kisha cheza michezo ya ushindi mkubwa kama Crazy Horses na Aviator.


Michezo ya Penalti

Miongoni mwa michezo inayofurahisha na kupendwa na mashabiki wa soka kwenye upande wa kasino ni “Penalty Shoot-Out” na “Goal”.


Mchezo wa Penalty Shoot-Out

Mchezo wa penalti shoot-out ni mchezo wa kasino ambao unakuruhusu kushiri kwenye upigaji penalti dhidi ya kipa ambaye anachezeshwa na kompyuta. Wewe kama mshiriki utahusika na kumchezesha mpigaji (mpiga penalti).


Jinsi ya kucheza mchezo wa Penalti shoot-out

  • Mwanzoni mwa mchezo unatakiwa kuchagua taifa gani unalotaka kuchezea.
  • Kila round moja itahusisha penalti tano(5).
  • Kwa kila penalti utakayopiga utajishindia kiwango cha fedha kulingana na dau lako la beti na odds zinazopatikana kwa kila penalti.
  • Kadri unavyopiga penalti na kushinda ndivyo kadri odds zinavyoongezeka.
  • Kila mchezaji anaposhinda penalti atakua na uwezo wa kutoa hela (cash-out) na sio tu mpaka apatie penalti zote tano. Lakini pia ni muhimu kutambua kuwa ukipata penalti zote 5 utakua umejishindia ushindi mkubwa kwa sababu ya odds kubwa.

Odds Za Mchezo Wa Penalti Shoot-Out

Mchezo wa penalti una odds kubwa kulingana na jinsi utakavyo patia kushinda penalti hizo, Ukipatia penalti 3 unaweza ku-cash out na vivyo hivyo kwa penalti 1, penalti 4, n.k.

Penalti Odds
Penalti Moja(1) 1.92
Penalti Moja(2) 3.84
Penalti Moja(3) 7.68
Penalti Moja(4) 15.36
Penalti Moja(5) 30.72


Mchezo wa Goal

Mchezo wa Goal kwenye kasino ya Meridianbet, inakupa uwezo kucheza mpira na kushinda goal kwa kuchagua njia gani mpira utapita pasipo kukosea na kukutana na bomu ambayo utakuwa umemaliza mchezo wako wa goal.


Ushindi unapatikana kwa kufanikiwa kuchagua njia sahihi ya mpaka kufika na kushinda kwenye lango(goli) la mpinzani. Mchezo wa goal unachezwa kwenye gridi ya nguzo na safu(Columns & rows), ambapo kwa kila mchezo utakaochezwa kutakuwa na mabomu kwenye gridi hio na ni jukumu lako wewe kubashiri ni chumba gani utachagua ambapo mpira utapita mpaka kufikia golini kwa mpinzani.


Kadri unavyozidi kwenda chumba kimoja mbele ndipo unapojiongeza odds nyingi na kubwa za ushindi, cheza mchezo wa Goal sasa na ufurahie utajiri wa pesa mtandaoni.


Hitimisho

Kwa ufupi, Meridianbet ni kasino nambari moja yenye michezo mingi ya kusisimua inayopatikana kwa wachezaji na wadau wa kubeti. Michezo hii ni pamoja na mchezo wa aviator, michezo ya namba, michezo ya farasi, michezo ya penalti, na michezo mingine ya kasino. Kwa kucheza michezo hii mingine, unaweza kutarajia kushinda pesa nyingi kutokana na odds kubwa. Kumbuka kucheza kwa usahihi na kutumia pesa zako kwa busara. Endelea kufuatilia Meridianbet kwa sababu wanaongeza michezo mingine ya kasino kila wakati.

general.scroll_to_top